Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Hizi Mbwa zije kujaribu kuniteka Mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchukua video alikuwa ka base kwenye tukio!Mbona nimeona wanafunzi tu na kina mama,..inawezekana wanaume hawakuepo.
Wanakuua naww unakufa na mmojaBora wakuue ila umewagusa gusa wakachue na diclopar
Hawana bunduki wala silaha yoyote hao vinginevyo wangemwonyeshea ili kumdhoofisha aingie kwenye gari kwa urahisiNani atamfunga paka kengele?. Unaweza ukajipeleka kusaidia afu ukajikuta uko peke Yako wamekuachia msala...
Watawasingizia hao nyumbu wanaokodoa hapo... "raia wenye hasira kali walituzunguka wakataka kutuua na kuchoma gari, tukafanikiwa kutoroka".Sasa jamaa wameshindwa kumuingiza kwenye gari 😄 sijui wana enda kusema nini kwa walio watuma
Hivi Bastola ni tsh ngapi...kibali ntapambana nacho nikipate...kwa hali ya sasa Bastola ni Basic need kama mbwai iwe mbwai tufee wote maninaahao watekaji wanaonekana kabisa. ndio maana marekani trump alisema kila mtu amiliki silaha, ila kama zinapigwa muwe kwenye level sawa. hao wanaringa kwa sababu wana silaha, ila wangejua jamaa naye ana silaha wasingemuonea hivyo. nchi imefika pabaya sana.
Kabisa maana aliwazidi nguvuHuyo jamaa kama angeweka uoga kando japo kwa dakika tano tu akaamaua kupambana nao kikamilifu angewamudu vzr kabisa na wangekimbia walisahau gari. Na pasi na shaka angeweza hata kuchomoa roho ya mmoja au wawili