Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

FB_IMG_17311279387995239.jpg
 
Nani atamfunga paka kengele?. Unaweza ukajipeleka kusaidia afu ukajikuta uko peke Yako wamekuachia msala,

Kila mtu huipigania nafsi yake ni ngumu sana mtu aende kusaidia peke yake vipi akipigwa risasi?

Muwalaumu hao wanaoteka , sasa raia wa kawaida ajipeleke afu akutane na watu Wana bunduki
 
Fisiem imeleta laana katika nchi hii,watu wanashindwa kuandamana wanashindwa kusaidiana basi hata huruma tuoneane unamuona mwenzako anafanyiwa hivi unashindwa hata kuuliza?

Basi hata kelele unaogopa kupiga? Why watu wanakuwa hivi?

Ukiona haya ujui nchi imeoza haya mambo pale ukifanya pale bububu (Zanzibar) hao wote wangekuwa maiti sasa hivi.
 
Hao polisi kama wapo serious kukamata hilo kundi la wahuni na wauwaji sijui wapewe ushahidi gani tena maana mpaka sura za wahusika safari hii wanazo kwenye camera.

Ngoja siku ya briefing usikie mikwara ya makamanda halafu baada ya week mbili kimya, kama kwenye sakata la marehemu mzee Kibao.

Mtuhumiwa mmoja unaambiwa alipanda basi toka linaanza safari, marehemu kachukuliwa kwenye basi lililojaa abiria na mpaka leo hakuna hata updates wamefikia wapi.

Haya mambo ya kutaka kuchukua maisha ya watu kirahisi rahisi kwakweli yanasikitisha sana.
 
hao watekaji wanaonekana kabisa. ndio maana marekani trump alisema kila mtu amiliki silaha, ila kama zinapigwa muwe kwenye level sawa. hao wanaringa kwa sababu wana silaha, ila wangejua jamaa naye ana silaha wasingemuonea hivyo. nchi imefika pabaya sana.
Hivi Bastola ni tsh ngapi...kibali ntapambana nacho nikipate...kwa hali ya sasa Bastola ni Basic need kama mbwai iwe mbwai tufee wote maninaa
 
Back
Top Bottom