Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,494
- 9,854
- Thread starter
- #41
Weka mji nke ya Dar that can answer Mombasa in FDI or contribution to GDP?., outside Dar hakuna mji Tanzania ina uwezo ama pesa kushonda Kenya's three nikiondoa Mombasa na Nairobi., ilidhiirika wazi hapa., when the gov't released how counties contribute to GDP., wengi wenyu hamukuamini Kiambu does better than your Dar!., unaropokwa mafikira yako bila facts., how are your mashinani contributing to your GDP?., Dar pekee ndio imeshikilia Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Kenya mfumo wa ugatuzi/majimbo imebadilisha nchi., kila mahali ni maendeleo!!., hili jambo linawauma., sasa mkiona Kenya iko mbele ni povu., ona vile mnajitetea humu, hamna chochote.Ukiondoa Nairobi, Kenya kote huko kwingine ni machakani kama upande wa kaskazini mwa Kenya ndio balaa, maendeleo yapo nyuma kabisa hata barabara maji, umeme hakuna kabisa wakati Tanzania mtu angefikiri Dar ndio kungekua na huduma bora kuzidi maeneo yote za kijamii
Tanga sio kama Dar lakini kuna huduma ya clean and safe water 100% Moshi 100% etc wakati Kenya hakuna County inayopita Nairobi kwa maendeleo ya aina yoyote ile.
Sent using Jamii Forums mobile app