Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

Jamaaa kamuaa ili wakose wote sasa... Alijipanga kwa muda mrefu kama namuona wakati ananunua hiyo sumu..

Asee wanadamu tumeumbwa na kinyongo Kikali sana ambacho kikikufika shingoni hata kuishi hakuna maana. Zianzishwe taasisi kufoa Guidance and Councelling kuokoa maisha ya hawa wahanga wa mahusiano.
 
Mimi nasisitiza na nitaendelea kusisitiza.

Kama mtu na mke sijui bwana na kimada mmoja wenu ameamua kwa makusudi kuishi nje ya utaratibu unaotakikana basi chuma ziendelee kulia mwenye bunduki atumie mwenye bomu atumie kama hivi kisu kitumike mwenye junia za mkaa atumie alimradi ahakikishe heshima inarudi kama zamani.

Hata nchi zinazoheshimiana leo walishakuwa kwenye migogoro kama hii wakapigana vita roho za watu zikapotea mwisho wakaona hapana wakasema sasa inatosha ngoja tuishi kwa utaratibu huu na wakaafikiana that's why leo tunaona wako vizuri so mimi naamini yakiwepo matukio serious kama haya hamsini akitokea atakaetaka kumsaliti mwenzake atajipa muda wa kujiuliza mara mbili mbili siyo kama sasa ukishika mkono tu twende!!!
 
Kuna jiran yangu hapa vingunguti jiran na msikiti wa mtambani nahisi Hana muda naye atagawana majengo ya serikal na mwenziwe

Maana hawaishi kutishiana visu mda wote kwa kweli

Toa Taarifa Kwa IiGiiPii

Kumammk am seek n tired of this shit[emoji26][emoji26]

Yaan imekuwa kama fasheni[emoji57][emoji57]
Witnessj kesho asubuhi na mapema wahi kituo cha Polisi Tandale, ukajibu tuhuma za kudhalilisha kiungo cha mwili kilichotuleta duniani...[emoji2]
 
Daaah Happy ameuwawa kikatili Sana sijui alifanya ubaya Gani mpaka kufikia huko, Ni kama vile namuona ni juzi tu kahitimu Exllent college pale Tegeta Boko. R.I.P
 
shetani yupo kazini hili linatakiwa liangaliwe kwa namna ya tofauti kwanzia ngazi ya kifamilia mpaka juu huko haiwezekani kila baada ya mda mfupi watu wanatoana roho kama vile wananunua roho dukani [emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
Daaah Happy ameuwawa kikatili Sana sijui alifanya ubaya Gani mpaka kufikia huko, Ni kama vile namuona ni juzi tu kahitimu Exllent college pale Tegeta Boko. R.I.P
imagine wazazi wake wanajiskiaje mtoto wao ndokamaliza chuo sasa aanze kupambana na maisha afu anatokea mtu tu anakatisha maisha yake
 
Daaah Happy ameuwawa kikatili Sana sijui alifanya ubaya Gani mpaka kufikia huko, Ni kama vile namuona ni juzi tu kahitimu Exllent college pale Tegeta Boko. R.I.P
pole mkuu, vip alikua Pisi kali ?
 
Kuna jiran yangu hapa vingunguti jiran na msikiti wa mtambani nahisi Hana muda naye atagawana majengo ya serikal na mwenziwe

Maana hawaishi kutishiana visu mda wote kwa kweli
Wanaweza wakaenda jengo moja lenye mafriza mkuu,
 
Hii sasa sifa, inabidi maiti zao zipigwe viboko hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.

Pia nasisitiza matumizi sahihi ya Ncha Kali.
Kikwetu mtu akijiua unachukua mkuki wa chuma unaupasha moto then unamwingiza kwenye nya!pyuuuu unautoa hiyo unKua umetoa nuksi hiyo ya mtu mwingine kujiua katika familia yetu au ukoo wetu.
 
Back
Top Bottom