Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Wimbi la mauwaji na kujiuwa limezidi bongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Witnessj kesho asubuhi na mapema wahi kituo cha Polisi Tandale, ukajibu tuhuma za kudhalilisha kiungo cha mwili kilichotuleta duniani...[emoji2]Kumammk am seek n tired of this shit[emoji26][emoji26]
Yaan imekuwa kama fasheni[emoji57][emoji57]
Kimsingi kanda ya Ziwa bado inaendeleza matukio yaoBUNAZA DOTO MANYANDA.
"The same shit but with different toilet pit"
imagine wazazi wake wanajiskiaje mtoto wao ndokamaliza chuo sasa aanze kupambana na maisha afu anatokea mtu tu anakatisha maisha yakeDaaah Happy ameuwawa kikatili Sana sijui alifanya ubaya Gani mpaka kufikia huko, Ni kama vile namuona ni juzi tu kahitimu Exllent college pale Tegeta Boko. R.I.P
pole mkuu, vip alikua Pisi kali ?Daaah Happy ameuwawa kikatili Sana sijui alifanya ubaya Gani mpaka kufikia huko, Ni kama vile namuona ni juzi tu kahitimu Exllent college pale Tegeta Boko. R.I.P
Wanaweza wakaenda jengo moja lenye mafriza mkuu,Kuna jiran yangu hapa vingunguti jiran na msikiti wa mtambani nahisi Hana muda naye atagawana majengo ya serikal na mwenziwe
Maana hawaishi kutishiana visu mda wote kwa kweli
Kikwetu mtu akijiua unachukua mkuki wa chuma unaupasha moto then unamwingiza kwenye nya!pyuuuu unautoa hiyo unKua umetoa nuksi hiyo ya mtu mwingine kujiua katika familia yetu au ukoo wetu.Hii sasa sifa, inabidi maiti zao zipigwe viboko hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
Pia nasisitiza matumizi sahihi ya Ncha Kali.