Mi nadhani vituo vingine vya polisi wamechoma wenyewe polisi, hata JWTZ baadhi walivaa nguo za kiraia wenyewe kutoa morale ya maandamano.
Watanzania hakuna wanachoweza ukitoa wahuni tu, ambao walikuwa na fujo jana. Nchi nyingine yeyote leeway vyombo vya ulinzi vilivyotoa jana sasa hivi barabara zingekuwa zimejaa uchafu.
Kilichobaki ni vyombo vya ulinzi vimalizie tu kazi ni wazi hawamtaki huyo mama fisadi, rightly so. Lakini raia wa Tanzania hatuna tunachoweza.
Sipati picha nchi kama uingereza waandamanaji waachwe kwa nusu saa tu na raia wajue hakuna polisi hilo balaa lake alitakuwa la kitoto.
Watanzania hakuna kitu wanaweza
Na huko kakola umeuliza napo ni police wamechoma sio?Mi nadhani vituo vingine vya polisi wamechoma wenyewe polisi, hata JWTZ baadhi walivaa nguo za kiraia wenyewe kutoa morale ya maandamano.
Watanzania hakuna wanachoweza ukitoa wahuni tu, ambao walikuwa na fujo jana. Nchi nyingine yeyote leeway vyombo vya ulinzi vilivyotoa jana sasa hivi barabara zingekuwa zimejaa uchafu.
Kilichobaki ni vyombo vya ulinzi vimalizie tu kazi ni wazi hawamtaki huyo mama fisadi, rightly so. Lakini raia wa Tanzania hatuna tunachoweza.
Sipati picha nchi kama uingereza waandamanaji waachwe kwa nusu saa tu na raia wajue hakuna polisi hilo balaa lake alitakuwa la kitoto.
Watanzania hakuna kitu wanaweza
Mi nadhani vituo vingine vya polisi wamechoma wenyewe polisi, hata JWTZ baadhi walivaa nguo za kiraia wenyewe kutoa morale ya maandamano.
Watanzania hakuna wanachoweza ukitoa wahuni tu, ambao walikuwa na fujo jana. Nchi nyingine yeyote leeway vyombo vya ulinzi vilivyotoa jana sasa hivi barabara zingekuwa zimejaa uchafu.
Kilichobaki ni vyombo vya ulinzi vimalizie tu kazi ni wazi hawamtaki huyo mama fisadi, rightly so. Lakini raia wa Tanzania hatuna tunachoweza.
Sipati picha nchi kama uingereza waandamanaji waachwe kwa nusu saa tu na raia wajue hakuna polisi hilo balaa lake alitakuwa la kitoto.
Watanzania hakuna kitu wanaweza
Sure, upo sahihi kabisa mkuu wanawarisk tu hao wanajeshi na mapolisi waliotoa hiyo chance, tazama hapa na kwenye mitandao mingine kila mtu anasema tu jeshi lichukue nchi, mara limalize mchezo, mara Gen Mkunda afanye kitu, utafikiri wao kuna cha maana wamefanya!
Sasa hivi wamejifungia vichochoroni huko wanakula viroba. Kwa watu wenye akili ni kwamba tangu jana hapa ingekua ni maandamano kwa shift, night and day na ukizingatia wamepewa na off kazini leo, kazi ingeisha in 48hrs but kwa kuwa tu mediocre tumejaribu jana leo tumewaachia masisiemu wajipange, then wakirudi na utekaji tutaanza kuchonga tena, na zamu hii itakuwa massive, I promise!
Watanzania ni shida, nina uhakika kutakuwa na plan B ya wahusika.Sure, upo sahihi kabisa mkuu wanawarisk tu hao wanajeshi na mapolisi waliotoa hiyo chance, tazama hapa na kwenye mitandao mingine kila mtu anasema tu jeshi lichukue nchi, mara limalize mchezo, mara Gen Mkunda afanye kitu, utafikiri wao kuna cha maana wamefanya!
Sasa hivi wamejifungia vichochoroni huko wanakula viroba. Kwa watu wenye akili ni kwamba tangu jana hapa ingekua ni maandamano kwa shift, night and day na ukizingatia wamepewa na off kazini leo, kazi ingeisha in 48hrs but kwa kuwa tu mediocre tumejaribu jana leo tumewaachia masisiemu wajipange, then wakirudi na utekaji tutaanza kuchonga tena, na zamu hii itakuwa massive, I promise!
Wanatudharau sana WatanzaniaHao wahuni sio watanzania?
Mlisema hamna mtu ataandama sasa wameandamana mnabadilisha goal post.
Mnataka wachome nchi nzima ndo mjue wapo serious au?
Mna ujuaji mwingi wakati wenyewe hamchangii chochote kile zaidi ya kuwa keyboard warrior.
Ndugu kwa uhuru waliopewa jana watanzania, kwengine duniani hali ingekuwa mbaya.Hao wahuni sio watanzania?
Mlisema hamna mtu ataandama sasa wameandamana mnabadilisha goal post.
Mnataka wachome nchi nzima ndo mjue wapo serious au?
Mna ujuaji mwingi wakati wenyewe hamchangii chochote kile zaidi ya kuwa keyboard warrior.
Be realisticNa huko kakola umeuliza napo ni police wamechoma sio?
Utabeza sanaa lakini wa Tz wa leo si kama akili zako zilivyotindikana
Wameweza! Na yote ni mipango ya MunguMi nadhani vituo vingine vya polisi wamechoma wenyewe polisi, hata JWTZ baadhi walivaa nguo za kiraia wenyewe kutoa morale ya maandamano.
Watanzania hakuna wanachoweza ukitoa wahuni tu, ambao walikuwa na fujo jana. Nchi nyingine yeyote leeway vyombo vya ulinzi vilivyotoa jana sasa hivi barabara zingekuwa zimejaa uchafu.
Kilichobaki ni vyombo vya ulinzi vimalizie tu kazi ni wazi hawamtaki huyo mama fisadi, rightly so. Lakini raia wa Tanzania hatuna tunachoweza.
Sipati picha nchi kama uingereza waandamanaji waachwe kwa nusu saa tu na raia wajue hakuna polisi hilo balaa lake alitakuwa la kitoto.
Watanzania hakuna kitu wanaweza
Time for drastic measures, if you ask me. Plan A is not working.Wameweza! Na yote ni mipango ya Mungu
Ndugu kwa uhuru waliopewa jana watanzania, kwengine hali ingekuwa mbaya.
Sasa hivi watu wangekuwa wamezunguka ofisi za NEC hakuna kutangaza matokeo ya uchaguzi wa hovyo.
Wewe umefanya nini? Usipangie watu cha kufanya wakati wewe umejifungia maghettoni.
Hao unaotaka wachukue nchi unataka wajiorganize wenyewe kushika dola? Uliona wapi wananchi wanashika dola baada ya maandamano? Madagascar, Kenya, Nepal nk baada ya maandamano nani walishika dola?
Be realisticHali ingekua mbaya mngekuja hapa kulalamika hali kuwa mbaya bila tija yeyote.
Hali kuwa mbaya bila tija kuna faida gani hasa?
Hayo matokeo ya NEC wanatangaza wapi wakati media zote zinatoa coverage ya maandamano tu tena media za nje; za ndani hazisemi chochote kile hawaamini macho yao.
Watanzania ni shida, nina uhakika kutakuwa na plan B ya wahusika.
Kwa sababu inaonekana kuna wazito wengi hawapendezewi na kwa namna huyo mama alivyoharibu nchi na baadhi ya taasisi za ulinzi.
Just my theory hii ya wananchi ilikuwa democratic route iwape uhalali wa kuingilia kati. Lakini ikishindikana lazima kuna plan zingine.