Dar: Jinsi Kituo cha Polisi pale Ubungo External kilichochomwa na waandamanaji

Dar: Jinsi Kituo cha Polisi pale Ubungo External kilichochomwa na waandamanaji

Operation za namna hii zina principles 3, surprise, secrecy na consistency! Ukianza unatakiwa kuongeza nguvu tu badala ya kusinzia na kumpa adui nafasi ya kujipanga

Keyboard warriors mna theories za kila aina vitendo sifuri.
 
Operation za namna hii zina principles 3, surprise, secrecy na consistency! Ukianza unatakiwa kuongeza nguvu tu badala ya kusinzia na kumpa adui nafasi ya kujipanga
I can see the logic into that
 
Haya ni matokeo ya maandamano yaliyoendelea usiku wa kuamkia leo

View attachment 3496087
Kazi nzuri sana mliyoifanya watanzania (Hasa watanganyika) Tumeonewa vya kutosha, tumepuuzwa vya kutosha, tumeuawa vya kutosha, wenzetu wengine wamebakwa na kulawitiwa bila makosa, wengine wameuawa kwa kuikosoa serikali ambayo ni haki yetu kikatiba, tumesema tumechoka.....Tumechoka. Huyu mama mwenye kitambi anayejinyea nyea ovyo lazima atutambue, anatuletea mambo ya kule kwao askari wao kulawiti watanganyika......HATUKUBALI HAYO MATUSI. Asome historia, Babu zetu walipigana na wajerumani miaka na miaka, akina Mkwawa, Mirambo, Kinjekitile, tuliwapinga wakoloni hadi wakaondoka wenyewe. Sasa huyu form form IV na watoto wake na mkwe wake, Kikwete na wapumbavu wengine wanataka kutukanyaga vichwani? Tumekataa.....tumekataa. Tutapigana hadi damu ya mwisho. Samia ondoka haraka sana.
 
Nipo ndani ya jeshi kijana tunawaonyesha mbinu! Jeshi haliwezi kuagizwa kuchukua nchi toka JF, lina standards na assessements zake ndani ya process! Fanyeni kazi yenu kwanza then mkifikisha inapotakiwa automatically mambo yataenda, kumbuka jeshi linatakiwa kuwa neutral hadi mamlaka za kiraia zinaposhindwa kuelewana ndio linachukua upande! Tupo kazini
For some reasons I believe you 💯
 
Keyboard warriors mna theories za kila aina vitendo sifuri.

Yani kwa ujumla hatuwapondi wala kuwasema vibaya, ni kwamba tunawaongezea mbinu za medani, na tunawapongeza sana tu kwa kuwa movement hii ni ya aina yake na ya kwanza kwa nchi yetu, wazazi wenu na kizazi chetu hatukuthubutu! Usitazame kila mchango wa mtu negatively!
 
KITU AMBACHO NATAKA NISEME, NAWAPENDA WATANZANIA, NIPO NJE YA NCHI LAKINI NAKUJA MWEZI UJAO. MMETUHESHIMISHA. WALE WATAOKUFA KWA AJILI YA HAKI TUTAWAKUMBUKA, BUT HATUTANYAMAZA TUTAPIGANA TUMUONDOE DHALIMU HUYO IDDI AMINA DADA AKA SAMIA SULUHU HASSAN, MBAKAJI, MLAWITI, MUUAJI ATOKE NCHINI KWETU. HATUOGOPI NA TUPO TAYARI KUFA ILI WATOTO WETU WAISHE MAISHA BORA.
 
Back
Top Bottom