Dar joto kali ukiweka buku mfukoni unakuta Nyerere kavua shati

Dar joto kali ukiweka buku mfukoni unakuta Nyerere kavua shati

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
8,306
Reaction score
14,632
Wakuu hali siyo poa, hali siyo safi, hali si nzuri kabisa, katika halakati za kufukuza shilingi leo najihisi kuumwa umwa kabisa. Dar es salaam mateso tupu kwa kweli, mwakani mkisikia nipo kwa Trump msishangae aisee!.
 
Back
Top Bottom