Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Sep 22, 2025 #1 Wakuu hali siyo poa, hali siyo safi, hali si nzuri kabisa, katika halakati za kufukuza shilingi leo najihisi kuumwa umwa kabisa. Dar es salaam mateso tupu kwa kweli, mwakani mkisikia nipo kwa Trump msishangae aisee!.
Wakuu hali siyo poa, hali siyo safi, hali si nzuri kabisa, katika halakati za kufukuza shilingi leo najihisi kuumwa umwa kabisa. Dar es salaam mateso tupu kwa kweli, mwakani mkisikia nipo kwa Trump msishangae aisee!.