Dar: Kijana auawa kwa kuchomwa moto kwa tuhuma za kuiba laki mbili

Wamalizane nao wakirudi uraiani
 
Bora mashahidi wamejitokeza ili nao waonje joto la jiwe... daktari nae apewe maua yake
 
hivi wanaofanya hv niwa Tanzania kweli au ndo wale wahamiaji haramu mbona wamemfanyia mwenzio unyama.
 
Jan 23/2024 au jan 2025 hebu weka sawa hapo!
 
Yaani mtu anauliwa vibaya sababu ya dollar 100? Bado tupo nyuma sana.
 
Wee laki mbili hela ndefu jamani tusichukulie poa. Wengine kuishayote kwa pamoja hatujawahi

Mtu anayetoa ajira ya mjakazi nyumbani, hapaswi kuona kama laki 2 ni pesa mob, huo si kama mshahara wa miezi miwili tu wa mjakazi!
 
Babu tatizo lako unatuchekesha msibani!
 
Hahaha...........kwani hampendi kuongozwa na Wazee?

Kumbukeni ahadi yangu, Kila mwisho wa Mwezi 500k zinaingia kwenye akaunti zenu Vijana ๐Ÿ˜œ
Ahadi ndio iliyoniacha hoi!

Anyways tuendelee na maombolezo ya kijana.
 
Ahadi ndio iliyoniacha hoi!

Anyways tuendelee na maombolezo ya kijana.
Hahaha.................wapi nitakapozipata hizo 500k nitajua Kwa kuchota, Mimi si ndiyo nitakuwa namba 1 wenu ๐Ÿ˜œ

Vipi ile namba yako inapokea hela nikutumie rambirambi?

Hebu nidipu niione ๐Ÿค—
 
Hahaha.................wapi nitakapozipata hizo 500k nitajua Kwa kuchota, Mimi si ndiyo nitakuwa namba 1 wenu ๐Ÿ˜œ

Vipi ile namba yako inapokea hela nikutumie rambirambi?

Hebu nidipu niione ๐Ÿค—
Limeisha hilo mgombeaโ€ฆ.

Barikiwa in advance.
 
Limeisha hilo mgombeaโ€ฆ.

Barikiwa in advance.
Endeleeni kuniombea Babu yenu Umri mrefu ๐Ÿ™๐Ÿ™

Vijana watakuwa na uhakika wa kupata 500k Kila Mwezi ili wapate itumike kama chachu, katika kuchochea shughuli za Ujasiriamali wao

Hilo lingine Fanya kunidipu tu ๐Ÿค—
 
Una uliwa kwa kudai haki yako kweli dunia imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ