Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

Nimebaki najiuliza kwa kuzingatia uumbaji wa Mungu kwa kutangulia kumuumba mwanaume, majukumu ya mke na mume na wakati Mungu akisema atakufanyia msaidizi wa kufanana nae hawa wanafanana kitu gani😥😥

Mwanzo 2:18-25​

"BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."



Ubaya ni pale Wazazi wa kijana wanaweza kuwa walishawahi kutana na mkwe wao sehemu na wakamuamkia shkamoo
 
KAMA KUNA MWANAUME ATAISHI MAISHA YASOKUA NA STRESS NI HUYU DOGO NDANI YA NDOA YAKE.


KWAHUO UMRI WA BIDADA, NIWAZI BIDADA AKILI IMETULIAAAAAAA, HAINA UJINGA , YAAN AKILI IMEPIKWA, IKACHUJWA, IKAELEWA INATAKA NN!!.



Dogo apambane kutafuta, aendelee kusimama kama mwanaume.
 


Kwa umri wake huyo dogo na jamii inayomzunguka hawezi kuwa na hizo akili😂😂😂
Fuatilia utatukuja kutujuza
 
Hii ndoa ningekuwa mimi ni mchungaji sidhani kama ningeifungisha. Mpishano wa umri ni mkubwa sana.

Labda wachungaji mtusaidie kwa mujibu wa imani ya Kikristo je, ndoa ya aina hii ni halali kuifungisha?

Na kwa upande wa Waislamu nao je, ndoa ya mpishano mkubwa wa umri hivi inaruhisiwa?
 
Hilo sio tatizo kabisa, mimi mwenyewe natafuta mzee!
Sifa zao sasa..
1. Hawapendi sex ya kukomaa sana, wanatupenda vijana tunaokojoa fasta
2. Wanataka drive ile slowly hivyo hawatuchoshi.
3. Hawana ujinga wa kukamuana pesa na shida kibao, wengi aged wana maisha yao.
4. Hawahitaji sana sex mara kwa mara. Tofauti na vijana wanaendekeza ngono hadi umkojokeshe hii inatuchosha wanaume
 
Kwani ndoa inahusishe umri na umri au mbunye na shubaka zilizokomaa?
 
ukiangalia vizuri hizi picha tatu utajuwa kuwa huyo kijana hana ushirikiano mzuri wa kimapenzi na huyo mama kwanza anashindwa hata kumuangalia usoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…