Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

Akijitokeza mother mstaafu tena kama huyo nishtue mkuu nahitaji kuuona ufalme wa maisha mazuri siunajua Chief Hangaya kakaza? Hakuna hela wala nn bora niwe Marioooo.
Yupo mmoja analea mariooo, yaan anawabadilisha kama pichu ila ajabu kila mwaka marioo wake mmoja ana tangulia kwa MAULANA,
Vipi niku connect nae ?
 
Ahahahahahah ungekula shaba mzee nimecheka sana yaniπŸ˜…
 
Mkuu kuliko dogo angekuwa choko bora kakamata jimama! Kufilwa ni fedhea sana aheri kupeleka moto kwa mpigania uhuru tuπŸ˜…
 
Huyo jamaa ni above 25 msituone watoto sasa, kijeba kabisa
Jamaa anaweza kuwa hata na 27 huyo af kaona haelewi elewiπŸ˜…πŸ€©πŸ€£ mabinti wa age yake wote wanataka mwanaume mwenye kazi na maisha mazuri!

Mchongo hamna kaona ale apple na veterani tuπŸ˜…
 
Ukijaribu kuchomoka inakua ngumu, labda aamue kukutema tu ye mwenyewe.
Mi mwenyewe nlikua nawaona wapuuzi sana vijana wanaotembea na wanawake waliowazidi umri wakati mabinti wadogo wamejaa kibao, ila baada ya kujaribu ndio nikajua nlikua sijui.
Hahahahah ma veterans wana ladha za pekee halafu usumbufu ni 0% sababu wengi tayari wanajimudu kimaishaπŸ˜… utakula ushauri wa kukujenga tu bila drama ukiwa na akili iliotulia mnaenda sawa maana wana hekima ya kutosha!
 
Tusicho fikiria ni aging process, unamuoa mwanamke mkubwa kwako kwa miaka 20+. Ule wakati wa kibofu kuleta matatizo kwa mama wa 60+ kijana wa miaka 40 ataelewa!
Tatizo mmezoea mwanaume ndio wa kwanza kufa πŸ˜… inawezekana mwanamke nae akatangulia kufa vile vile! Acheni uzwazwa πŸ˜…
 
mama D uchumi unao, halafu umeukalia! Si tuungane kuanzisha kanisa letu la Apostles of Synagogy of all Nations. Mimi nitakuwa Nabii na Mtume wako Msaidizi.

Yaani Mwanamke unaijua Biblia kuliko hata mimi Katekista niliye kwenye wito kwa miaka 20! Tuungane ili kuwaokoa hawa akina Civilian Coin walio zingirwa na mapepo πŸ‘ΏπŸ˜ˆkila upande.
 

Morning Tate Mkuu 🀣🀣🀣🀣🀣

Wacha tuendelee kuwa mitume katika kazi na maisha yetu ya kila siku, hiki kizazi cha nyoka hakisikii hadi yawakute ya kuwakuta

Kinasikiliza tamaa za mwili kisha kuhalalisha hata yale yasiyopendeza machoni pa watu wala Mungu Tate Mkuu

Mathayo 12:34​

Enyi kizazi cha nyoka! Mnawezaje kusema mambo mema hali nyinyi ni waovu? Maana mtu husema kutokana na yale yaliyojaa moyoni.
 
Chinekeeeeeeeeeeeeeee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] kuuuumbe kuchokwaaaaa!!!!! Umeniosha macho aisee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…