Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Ndio ilimfanya bwana Makanzu mkuu wa Navy nchini kuondolewa na kupewa ubalozi. Maana alienda kinyume na kimbunga JOBOIle tani moja ya heroin iliyokamatwa kule Mafia iliishia wapi jamani au ilikuwa kiki tu?