Dar: Kilo 99.33 za Dawa za Kulevya zakamatwa, watuhumiwa 8 washikiliwa

Dar: Kilo 99.33 za Dawa za Kulevya zakamatwa, watuhumiwa 8 washikiliwa

Mwendazake Hana Cha kuigwa, labda kuteka na kupiga watu risasi mchana kweupe

Acha mama apige kazi, hongera kwake Sirro na kamanda wa kupambana na madawa ya kulevya na team yake, kiukweli madawa ya kulevya yanaua nguvu kazi ya Taifa, Sasa hivi wanakamatwa kimiyakimiya, bila kutaka show off
Mbona unaweweseka mama, 2025 tutawagaragaza vile vile kwa kutumia kivuli cha shujaaa wa Africa
 
hiyo ndo ajira kwa vijana, wasingetakiwa kukubali kukamatwa kizembe hivo wangejihami hata kwa silaha za moto. Watu wanaelim zao serikali imeshindwa kuwapa hata kazi ya laki 2 kwa mwezi

Kwa hasira wanatafta pesa za haraka kwa kuuza ngada/madawa ili kufidia pesa zao na muda wao walotumia darasani, pia ili kutengeneza maisha yao ya badae.

Unamdamganya Nani. Kwanza Serikali haiwezi ajiri wahitimu wote. Watalipwa Nini? Pili. Kuuza unga Ni kwa watu waliamua kufanikiwa fasta sio kisa ajira. Mana hata huku ulaya wapo tu.
 
Back
Top Bottom