Dar: Kilo 99.33 za Dawa za Kulevya zakamatwa, watuhumiwa 8 washikiliwa

Daaaaaaaaah!! 82ml plus dola 5000 plus gramu 500 maisha yanataka nini zaidi jamani. Alafu jamaa afisa kabisa. Hizo hela zilimtosha kabisa kutokaa na upunja ndani kwake aisee.. uzembe wa hali ya juu. Ila ndio hivo.
AJALI KAZINI.
 
Enzi za Magufuli hawa sasa hivi tungekua tushaimba parapanda.
 
Ukikamatwa ukipelekwa polisi
Kwenye kuchukua na kutambua taarifa zako
Kabila himo !

Umri...

Kazi...

Kabila...

Ova
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa
 
fiksi tupu na biti uchwara

ili watu waogope biashara zao.
 
Kwanini huwa wanatangaza hivyo wakati bado ni tuhuma na tena zipo mahakamani. Kwanini wasiache mahakama itoe uamuzi ndiyo waje kusema hayo. Kesi ya mdude iliishaje
Mtu kakamatwa na kithibitisho ni vibaya kusema flani kakamatwa nacho, kwani wamehukumiwa ?
 
Hizi sinema wataachiwa kama Mdude, Ila huyu Police wa Bunju Beach hatari sana
 
Hii makitu ina hela sana asee
Sema tu ukikamatwa unaishia majengo ya serikali ila aaaa
 
Mbona sijakuelewa, unawaonea huruma au, kama vile unasikitika wamekamatwa?
hiyo ndo ajira kwa vijana, wasingetakiwa kukubali kukamatwa kizembe hivo wangejihami hata kwa silaha za moto. Watu wanaelim zao serikali imeshindwa kuwapa hata kazi ya laki 2 kwa mwezi

Kwa hasira wanatafta pesa za haraka kwa kuuza ngada/madawa ili kufidia pesa zao na muda wao walotumia darasani, pia ili kutengeneza maisha yao ya badae.
 
Barabara ya Mandela tayari imeanza kuweka wabwia unga kwenye vituo vya daladala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…