Mwendazake Hana Cha kuigwa, labda kuteka na kupiga watu risasi mchana kweupe
Acha mama apige kazi, hongera kwake Sirro na kamanda wa kupambana na madawa ya kulevya na team yake, kiukweli madawa ya kulevya yanaua nguvu kazi ya Taifa, Sasa hivi wanakamatwa kimiyakimiya, bila kutaka show off