Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Alafu reporting time saa 5.30 asubuhImagine unatoka mbagala kwenda mbez dhaaa
DarLux, NewForce zipo ShekilangoToka nyumbani saa 10...kla kuna magari yana yadi za mabasi kuko mbagala... unapandia huko huko
Kwahyo Ubungo hapatakuwa na mabasi au nitulie kwanza ili nielewe vizuri?
Nakumbuka wakati Stand inahamishwa kutoka Mnazi Mmoja na Kisutu kwenda Ubungo watu walilalamika na kulia sana, ilikua bado kidogo waandamane.Imagine unatoka mbagala kwenda mbez dhaaa
Imagine unatoka mbagala kwenda mbez dhaaa
Kwahyo Ubungo hapatakuwa na mabasi au nitulie kwanza ili nielewe vizuri?
Ma bus yanyewe ya kuondoka asubuhi mapema itabidi muwe na transit Kimara 24 Hrs halafu unaendelea na safari au wenye ba bus lazima wabadilishe ratiba zao za kuondoka vinginevyo watu wengi gharama za kuanza safari zitakuwa kubwa kuliko gharama za safari yenyewe. usogee mjini siku moja kabla, gharama ta usafiri na chakula hapo kwa maana nyingine kama unasafiri kwa alfu 20 ongeza iwe 40 hapo naongelea kama unasafiri peke yako lakini wale wanaosafiri family nzima kazi ipo au ndio kuondoka nyumbani saa 9 alfajiri. Lakini hakuna option zingine ni lazima kuwe na stand sehemu.Imagine unatoka mbagala kwenda mbez dhaaa
Mkuu hayawezi kuwepo kwa simple reasoning tu.....kama stand itakuwa MbeziKwahyo Ubungo hapatakuwa na mabasi au nitulie kwanza ili nielewe vizuri?
Hapo umeongea vizuri zaidi na hiyo ndio changamoto haswa.Sasa hivi Jiji limefunguka sana kikubwa ni kuwepo kwa utaratibu mzuri wa usafiri kutoka pande hizo hadi Mbezi.
Umenena vyema sana mkuu...Nakumbuka 2017 nilikuwa nadamka asubuhi kutoka kigamboni ili niwahi bus za kwanza kwenda moro lakini nilikuwa nashindwa sababu mwendokasi zilikuwa zinaanza muda ambao ndio bus ubungo zinaanza kutoka, hvyo inakuja kukusababishia cost zingine.Ma bus yanyewe ya kuondoka asubuhi mapema itabidi muwe na transit Kimara 24 Hrs halafu unaendelea na safari au wenye ba bus lazima wabadilishe ratiba zao za kuondoka vinginevyo watu wengi gharama za kuanza safari zitakuwa kubwa kuliko gharama za safari yenyewe. usogee mjini siku moja kabla, gharama ta usafiri na chakula hapo kwa maana nyingine kama unasafiri kwa alfu 20 ongeza iwe 40 hapo naongelea kama unasafiri peke yako lakini wale wanaosafiri family nzima kazi ipo au ndio kuondoka nyumbani saa 9 alfajiri. Lakini hakuna option zingine ni lazima kuwe na stand sehemu.
Sio mbaya ila ni mbaya kwakuongezeka kwa gharama zakufika mbezi plus muda wakuamka ili uwahi vinginevyo ulale stendi tu maana kwa njia zetu hizi utaishia kuchelewa gari kila siku.Mkuu hayawezi kuwepo kwa simple reasoning tu.....kama stand itakuwa Mbezi
Safi, ila mbal
Yaan n balaa kwa kwelMa bus yanyewe ya kuondoka asubuhi mapema itabidi muwe na transit Kimara 24 Hrs halafu unaendelea na safari au wenye ba bus lazima wabadilishe ratiba zao za kuondoka vinginevyo watu wengi gharama za kuanza safari zitakuwa kubwa kuliko gharama za safari yenyewe. usogee mjini siku moja kabla, gharama ta usafiri na chakula hapo kwa maana nyingine kama unasafiri kwa alfu 20 ongeza iwe 40 hapo naongelea kama unasafiri peke yako lakini wale wanaosafiri family nzima kazi ipo au ndio kuondoka nyumbani saa 9 alfajiri. Lakini hakuna option zingine ni lazima kuwe na stand sehemu.
Na, wala hakuna hata Choo YanUtazoea tu
Zamani kituo kikuu cha mabasi kilikuwa Kisutu Mnazi mmoja lilipo sasa soko la kisutu la muda
Ilipohamishiwa Ubungo tulilalamika sana Wananchi lakin baada ya muda tukazoea
Ubungo ilikuwa hovyo sana, unalipia pesa lakin hakuna hata kisehemu rasmi cha kusubiria wageni