Dar: Kuanzia Novemba 30 Mbezi Luis Terminal itaanza kutumika rasmi

Dar: Kuanzia Novemba 30 Mbezi Luis Terminal itaanza kutumika rasmi

Nakubuka wakati Stand inahamishwa kutoka Mnazi Mmoja na Kisutu kwenda Ubungo watu walilalamika na kulia sana, ilikua bado kidogo waandamane.
Wakapiga sana simu redio Tumaini kulalamikia hatia hiyo wakidai Ubungo ni Mbali sana[emoji2][emoji2][emoji28].
Sasa hivi Jiji limefunguka sana kikubwa ni kuwepo kwa utaratibu mzuri wa usafiri kutoka pande hizo hadi Mbezi.
Huko tuendako Stand itahamishiea Moro na Dodoma na bado watu watawahi na kusafiri kama kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ma bus yanyewe ya kuondoka asubuhi mapema itabidi muwe na transit Kimara 24 Hrs halafu unaendelea na safari au wenye ba bus lazima wabadilishe ratiba zao za kuondoka vinginevyo watu wengi gharama za kuanza safari zitakuwa kubwa kuliko gharama za safari yenyewe. usogee mjini siku moja kabla, gharama ta usafiri na chakula hapo kwa maana nyingine kama unasafiri kwa alfu 20 ongeza iwe 40 hapo naongelea kama unasafiri peke yako lakini wale wanaosafiri family nzima kazi ipo au ndio kuondoka nyumbani saa 9 alfajiri. Lakini hakuna option zingine ni lazima kuwe na stand sehemu.
Kuna magari yana yard nje ya ubungo kama Marangu coach zipo shekilango na mbagala pia kilimanjaro wanayo kigamboni...hawa watafanya sana biashara maana kulikoni utoke mbagala kwenda mbezi ukapande basi bora upandie mbagala hukohuko
 
Hadi sasa sijaona icha yoyote ya icho kituo kinachojengwa zaidi ya michoro
 
Tumeipenda Wenyewe Wala Hatukuandikiwa Barua Wacha Ituue!!🙄😏😏
 
M
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mabadiliko ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.

Kuanzia Novemba 30, 2020 mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani yataanza kutumia kituo cha Mbezi Luis na sio Ubungo kama ilivyo sasa.

Aidha wadau wote wanakaribisha kutuma maombi ili kupata maeneo mbalimbali ya biashara katika kituo hicho.

View attachment 1621185

Mwisho mtasema kituo cha mikoani kipo Msamvu Morogoro
 
Wenye mabasi waione fursa ya kuwa na vituo vyao maeneo ambayo yapo mbali na stand, kama walivyofanya wenzao DarLux, Kilimanjaro Express, Marangu coach etc.

Msafiri anayetoka Chamazi, Kisewe, Chanika, Kigamboni, Pugu, G/mboto na maeneo mengine ya mbali hawezi kuwahi basi asubuhi bila kuingia gharama kubwa ya usafiri.
Vilevile msafiri wa maeneo hayo kushukia Mbezi toka mkoani ni usumbufu wa muda na gharama.

Ni bora kuwe na stand kama ya Mbezi sehemu tatu tofauti ndani ya jiji, ziwekwe kwa kubalance umbali ili iwe rahisi kufikiwa na msafiri toka sehemu yoyote ndani ya jiji. Serikali iachane na mpango wa kuwa na stand moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mabadiliko ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.

Kuanzia Novemba 30, 2020 mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani yataanza kutumia kituo cha Mbezi Luis na sio Ubungo kama ilivyo sasa.

Aidha wadau wote wanakaribisha kutuma maombi ili kupata maeneo mbalimbali ya biashara katika kituo hicho.

View attachment 1621185
Safi sanaaa....HAYA NDIYO TUYATAKAYO WATANZANIA....

#Maendeleo Hayana VYAMA
 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mabadiliko ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.

Kuanzia Novemba 30, 2020 mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani yataanza kutumia kituo cha Mbezi Luis na sio Ubungo kama ilivyo sasa.

Aidha wadau wote wanakaribisha kutuma maombi ili kupata maeneo mbalimbali ya biashara katika kituo hicho.

View attachment 1621185
👍👍👍😍😍
 
Sio mbaya ila ni mbaya kwakuongezeka kwa gharama zakufika mbezi plus muda wakuamka ili uwahi vinginevyo ulale stendi tu maana kwa njia zetu hizi utaishia kuchelewa gari kila siku.
Hata waliochanika,Kigamboni mbelembele huko au Mbagala kongowe huko....ubungo ni mbali,hata wangejenga karibu na unapoishi wengine wangelalamika
 
Hapo umeongea vizuri zaidi na hiyo ndio changamoto haswa.

Umenena vyema sana mkuu...Nakumbuka 2017 nilikuwa nadamka asubuhi kutoka kigamboni ili niwahi bus za kwanza kwenda moro lakini nilikuwa nashindwa sababu mwendokasi zilikuwa zinaanza muda ambao ndio bus ubungo zinaanza kutoka, hvyo inakuja kukusababishia cost zingin

Kuna magari yana yard nje ya ubungo kama Marangu coach zipo shekilango na mbagala pia kilimanjaro wanayo kigamboni...hawa watafanya sana biashara maana kulikoni utoke mbagala kwenda mbezi ukapande basi bora upandie mbagala hukohuko
Kama wataachiwa au wanaweza kuhamishwa wote kwenda Mbezi maana kutakuja malalamiko toka kwa wengine kuhusu ushindani wa biashara vingevyo wakiwaachia tutaona makampuni mengi yakirudi mjini tena. Hali hii ina gharama kwa watu lakini tukumbuke hata Ubungo walivyoanza watu walikuwa wanaona mbali ikaja kuonekana kawaida tu na Mbezi itakuja kuonekana kawaida tu tofauti ni kuwa gharama za kusafiri zitaongezeka.
 
Kuna sehemu hapa Dar kufika ubungo tu ilikuwa changamoto,je hapo mbezi unadhani itakuwaje.
Mf.mbagala,g/mboto n.k
G mboto inabd watumie njia ya majumba Sita wapitie kinyerez
 
Back
Top Bottom