Ma bus yanyewe ya kuondoka asubuhi mapema itabidi muwe na transit Kimara 24 Hrs halafu unaendelea na safari au wenye ba bus lazima wabadilishe ratiba zao za kuondoka vinginevyo watu wengi gharama za kuanza safari zitakuwa kubwa kuliko gharama za safari yenyewe. usogee mjini siku moja kabla, gharama ta usafiri na chakula hapo kwa maana nyingine kama unasafiri kwa alfu 20 ongeza iwe 40 hapo naongelea kama unasafiri peke yako lakini wale wanaosafiri family nzima kazi ipo au ndio kuondoka nyumbani saa 9 alfajiri. Lakini hakuna option zingine ni lazima kuwe na stand sehemu.