ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Sijui hawa wanaosimamia nchi wanatumia masaburi gani kufikiria. Mambo ya kuhamisha stand kila siku ni uzwazwa.Hivi haiwezekani kila sehemu kukawa na stendi ya mabasi ya kwenda mikoani maana kila saaa ni kuhamisha tu [emoji2303][emoji2303][emoji2303]
~Temeke kuwe na stand ya gari za kusini, iwe ya kisasa na kimataifa kabisa.
~Mbezi Louis kuwe na stand ya kisasa na kimataifa kabisa kwa gari za kanda ya ziwa, Morogoro na huko Iringa-Mbeya.
~Tegeta kuwe na stand nzuri ya kisasa kabisa kwa ajili ya gari za kaskazini huko.
~Reli ya kisasa toka jijini isambae nyanda zote dadeq.
~Trams za ndani ya jiji, za ukweli....
...aaah nimejiwazia tu Mama Sabrina!