Dar: Kuanzia Novemba 30 Mbezi Luis Terminal itaanza kutumika rasmi

Dar: Kuanzia Novemba 30 Mbezi Luis Terminal itaanza kutumika rasmi

Hata waliochanika,Kigamboni mbelembele huko au Mbagala kongowe huko....ubungo ni mbali,hata wangejenga karibu na unapoishi wengine wangelalamika
Mbezi inafikika kutoka pande zote za jiji tena sasa hivi kuna route za daladala njia zote. Kuna route kutoka Temeke kupitia Kinyerezi hadi Mbezi, Chanika Gongolamboto kupitia Majumba Sita Kinyerezi hadi Mbezi..Upande wa Tegeta watapitia Goba na njia ipo vizuri.
 
Kama wataachiwa au wanaweza kuhamishwa wote kwenda Mbezi maana kutakuja malalamiko toka kwa wengine kuhusu ushindani wa biashara vingevyo wakiwaachia tutaona makampuni mengi yakirudi mjini tena. Hali hii ina gharama kwa watu lakini tukumbuke hata Ubungo walivyoanza watu walikuwa wanaona mbali ikaja kuonekana kawaida tu na Mbezi itakuja kuonekana kawaida tu tofauti ni kuwa gharama za kusafiri zitaongezeka.
Kama una yard temeke watakulazimisha ulaze magari stand ya mbezi?? So watachofanya wanapakia abiria kwenye yard yao then saa 12 kasoro wanenda mbezi kutimiza wajibu then wanaondoka huku wamejaza abiria tayari.
 
Mbezi inafikika kutoka pande zote za jiji tena sasa hivi kuna route za daladala njia zote. Kuna route kutoka Temeke kupitia Kinyerezi hadi Mbezi, Chanika Gongolamboto kupitia Majumba Sita Kinyerezi hadi Mbezi..Upande wa Tegeta watapitia Goba na njia ipo vizuri.
Tatizo sio kufikika, tatizo ni kuwahi. Hizo route ulizotaja zina foleni kubwa sana, unaweza kutumia masaa matatu njiani!
Na stand ya Mbezi ikianza kutakuwa na traffic jam kubwa sana barabara ya Morogoro upande huo wa Mbezi sababu ya daladala nyingi kuelekea huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hapa Dar ukitoka ndani saa 10 na nusu alfajiri hakuna njia ambayo utakuta foleni labda utoke saa 12 asubuhj

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Kama una yard temeke watakulazimisha ulaze magari stand ya mbezi?? So watachofanya wanapakia abiria kwenye yard yao then saa 12 kasoro wanenda mbezi kutimiza wajibu then wanaondoka huku wamejaza abiria tayari.
Hichi kitu nimekiona Songea...Nilipakia Super feo alfajiri pale mjini ikatoka muda wa saa kumi na moja kuelekea stendi ya msamala ambapo huwa kuna abiria wengi asbhi, kisha ikaondoka tena saa kumi na moja na nusu kuelekea stendi mpya waliojenga, kule ni kama ilienda kusubiri muda tu ufike ili waondoke maana wanaruhusiwa saa kumi na mbili kamili. Na hiyo stendi ipo mbali sana kutokea stendi ya kwanza.
 
Kwa hapa Dar ukitoka ndani saa 10 na nusu alfajiri hakuna njia ambayo utakuta foleni labda utoke saa 12 asubuhj

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Ni kweli. Lakini pindi ikiwa rasmi tayari gari nyingi zitaongezeka kudamka ili kupeleka wasafiri wa asbh. Hatupingi stendi kwenda huko ila tunajaribu kuchanganua jinsi hali itakavyokuwa. MAENDELEO YANAPOFANYIKA BASI JUA KUNA WATU YATAWAUMIZA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE, lakini lazima mabo yaendelee.
 
Kwahiyo lile daraja la ubungu kutoka kituo cha mwendokasi kuingia ubungo stand linakuwa useless? Maana idadi ya watu wataolitumia itakuwa ndogo sana ukilinganisha na uwezo wa daraja lenyewe.
 
Kwahiyo lile daraja la ubungu kutoka kituo cha mwendokasi kuingia ubungo stand linakuwa useless? Maana idadi ya watu wataolitumia itakuwa ndogo sana ukilinganisha na uwezo wa daraja lenyewe.
😱Hakuna namna itabidi kuwa hivyo.
 
Chadema lazima wapinge! Ut
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mabadiliko ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.

Kuanzia Novemba 30, 2020 mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani yataanza kutumia kituo cha Mbezi Luis na sio Ubungo kama ilivyo sasa.

Aidha wadau wote wanakaribisha kutuma maombi ili kupata maeneo mbalimbali ya biashara katika kituo hicho.

View attachment 1621185
 
😱Hakuna namna itabidi kuwa hivyo.
This is called Poor planning indeed Kwanini Wataalam wasiwe na mipango ya muda mrefu? Tukiweza kuweka mipango ya miaka 100 na kuendelea kwenye hii miundombinu itakuwa na manufaa makubwa otherwise tunapiga Marktime tu.
 
Back
Top Bottom