Serikali kwanini inakivunja kituo cha mabasi Ubungo bila kufungua kituo kipya cha mabasi Mbezi Luis kianze kutumika.. Maana walianza kuvunja vyoo na parking za Magari, wiki hii wanaendelea kuvunja jengoa kupumzika abiria, tax maegesho, migahawa ,sehemu za vyakula na maduka. Je wakati huu wa...