Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Muheshimiwa Dkt. Gwajima D unatusaidiaje mama yetu kwenye hili janga?
Tunaomba useme neno tufarijike akina baba sisi mbona wanawake wenzako wamekua mstari wa mbele kuendekeza haya mambo ya ushoga.
Ahsante mkuu. Inasikitisha snaaa
 
Ukichunguza sana wanawake hasa ndio wanaendekeza ujinga wa hawa wapumbuvu, tena hasa ma single mama.

huwezi ona mwanaume mwenye akili zake timamu au mwanamke mwenye mahusiano yake thabiti kualika mashoga kwenye shughuli zao.
Hao mashoga wanaliwa na kina nani? Si ni wanaume?
Kwani mashoga sio binadamu? Wao hawapaswi kuhudhuria shughuri mbali mbali?

Mahusiano thabiti yapii? Haya ya kuachana kila leo? Em tutoleeni ngenga zenu hapa.
 
Serikali ndio ina uwezo wa kukomesha haya matukio by kuzindua mahakama maalumu kwa ajiri ya mashoga na LGBTQ.

Gonga likes kama unakubaliana nami!!
Yaan mnavyolia na kukerekwa km hivii. Bas huku rohoo kwatuuuuuu.
Watu weuweeeeeee!!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila mtu atumie kinyeo chake vile anaona inafaa.

Sasa hapo kosa lao ni nini? sheria za nchi zinasemaje? Katiba inasemaje?

Kama haupendi jinsi dume linavyojiweka kidada, hilo ni tatizo lako.

Basi mwambie samia awakataze madume kuvaa SHUMIZI.

Eeeeh, tumechoka sasa, ukikaidi, ukijifanya hupendi kuona madume yamevaa shumizi nenda Bungeni ukatunge sheria ya UVAAJI WA SHUMIZI, kapitishe mwenyewe utie saini uwape polisi waanze kuwacharaza viboko.

Kalamu si unayo? wino unao? Kaandike sheria kisha uiprinti tuanze utekelezaji.

Tumechoshwa, tumechoka, hata ukitaka kujamba unaambiwa acha usijambe, sheria imezuia.

Mnataka tukajambe wapi? Kila kitu sheria.

Ukitaka kuvaa nepi unaambiwa acha! Unapigwa rungu! Hivi nepi nayo ni kitu ya kumnyima mtu! Sheria imezuia, usijambe, usivae nepi!

Cc: Extrovert cocastic dronedrake Mzee wa kupambania
 
Muheshimiwa Dkt. Gwajima D unatusaidiaje mama yetu kwenye hili janga?
Tunaomba useme neno tufarijike akina baba sisi mbona wanawake wenzako wamekua mstari wa mbele kuendekeza haya mambo ya ushoga.
Thubutuu yake, labda km amechoka kuwa waziri, unadhani haoni hayo mambo? Aulize wenzie kilichowakuta na serikali iliwakana.

Na mtalia sana, yaan hapo badoooo.
Wasengeeeee hoyeeeeeee!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…