Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

Katika hizo ulizotaja ipi imekunufaisha mkuu.
 
Kati ya hizo ulizozitaja wewe unafanya ipi?
 
Sio kila mtu kazaliwa kufanya biashara

Biashara sio rahisi kiivyo Kama unavyosema Kuna operation cost kibao hapo mtu anayejua biashara ananielewa kwa Tanzania mazingira ya kufanya biashara ni magumu mno kwa sababu ya city na madalali

Sio kila mtu kazaliwa kufanya biashara hvyo hivyo sio kila mtu kazaliwa kufanya kazi hivyo kila mtu awe na Uhuru wa kufanya anachokitaka.
 
Sio story mkuu watu wanapiga pesa
Mkuu kuna vitu ni vigumu kuwaaminisha watu, ushaplay part yako....

Mi nlikuaga nawaangalia watu wanaofanya biashara ya sh 100 naona huyu hata afu kumi anafikisha kweli?? Mwaka huu nmeifanya mauzo ilikua afu 50 hadi laki kwa siku. Mauzo nkitoa hesabu zangu faida ya maana sana tu.

Nkuambie tu faida nliokua napata hata salary yangu haifiki 😀
 
Line Zina malipo Kwa mitandao ya simu
Lakini vile vile utamuuzua mteja line buku
Akizubaa utampiga ya usajiri
Kukata line
Kuuzq vocha Kwa wateja nk kwaiyo utaokota
Lakini siku hizi kila mtu anajua kusajili line ni bure, line za siku hizi sio kama za zamani zinakuja zimeshakatwa, siku hizi watu wengi hawanunui vocha bali wananunua vifurushi kupitia mobile money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…