Dar kuna mlipuko wa Malaria Kali?

Nobunaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,205
Reaction score
5,121
Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi.

Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
 
C
Chai
 
Hospitali hazijatoa tahadhari na huenda mamlaka inatafuta mwekezaji wa kuua mbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…