BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Wavulana wa DAR mnatia aibu sana.
Kitu kidogo tu malalamiko
Kitu kidogo tu malalamiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Dar ujuaji umewazidi sana, we hizi habari za kimaabara umezitoa wapi, kwa utafiti upi?Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi.
Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
Zanzibar wako vizur sana nawapa hongera kwenye haya mambo, ikitokea umeenda either hospital ya private au serikalini ukapatikana na malaria bas Kuna timu lazima ifuatilie unapoishi na pia Kuna utaratibu wa kupuliza dawa za kuua mazalio ya umbu maeneo hatarishi.Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi.
Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
Acha ujinga, Mimi tangu asubuhi homa imenikamata natumia caffeine na paracetamol, nikiamka sielewi kesho lazima niende Hospital.C
Chai
Ilinitokea, nilitoka zangu Katumbasongwe Kyela, jirani na Malawi, nikakaa na mishe za hapa na pale, baadae nikapata mchongo Zenji, kufika Malaria hiyo, nilisumbuka hospitali kubwa ya serikali eti hawana dawa za malaria, wanaamini Zanzibar hakuna Malaria, wakawasiliana na vituo vidogo ndio zikapatikana.Zanzibar wako vizur sananawapa hongera kwenye haya mambo, ikitokea umeenda either hospital ya private au serikalini ukapatikana na malaria bas Kuna timu lazima ifuatilie unapoishi na pia Kuna utaratibu wa kupuliza dawa za kuua mazalio ya umbu maeneo hatarishi.
Mimi nadhani chanjo za corona ndio zinatusaidia kupunguza makali, otherwise tungeanguka kama Kuku mdondo.Zanzibar wako vizur sananawapa hongera kwenye haya mambo, ikitokea umeenda either hospital ya private au serikalini ukapatikana na malaria bas Kuna timu lazima ifuatilie unapoishi na pia Kuna utaratibu wa kupuliza dawa za kuua mazalio ya umbu maeneo hatarishi.
Hata South Africa hakuna maralia, ukipata homa Kali wana Dawa yao ya unga inaitwa med lemon una weka kwenye glasi unakunywa, unalala, jasho likikutoka shughuri kwisha.Ilinitokea, nilitoka zangu Katumbasongwe Kyela, jirani na Malawi, nikakaa na mishe za hapa na pale, baadae nikapata mchongo Zenji, kufika Malaria hiyo, nilisumbuka hospitali kubwa ya serikali eti hawana dawa za malaria, wanaamini Zanzibar hakuna Malaria, wakawasiliana na vituo vidogo ndio zikapatikana.
Ila walikuja hadi home, na mafomu yao wakahoji hoji na wakawapima watu wote, na kujiridhisha kwamba mimi sio mkaazi wa hapo...
From that day, nikienda Zanzibar naenda na dawa za akiba.
Corona ipo sana tu na inawatafuna watu sema ndio hivyo ngozi nyeusi tumejaaliwa kwakweli, pia nahisi kama Dengue bado ipo.Mimi nadhani chanjo za corona ndio zinatusaidia kupunguza makali, otherwise tungeanguka kama Kuku mdondo.
Ninachoamini wimbi la corona bado lipo.
Basi hiyo malaria ulitoka nayo Bara na Wala hukuipatia Zanzibar, travel history ni mojawapo ya kipengele muhimu sana kwenye issue za kupambana na malaria.Ilinitokea, nilitoka zangu Katumbasongwe Kyela, jirani na Malawi, nikakaa na mishe za hapa na pale, baadae nikapata mchongo Zenji, kufika Malaria hiyo, nilisumbuka hospitali kubwa ya serikali eti hawana dawa za malaria, wanaamini Zanzibar hakuna Malaria, wakawasiliana na vituo vidogo ndio zikapatikana.
Ila walikuja hadi home, na mafomu yao wakahoji hoji na wakawapima watu wote, na kujiridhisha kwamba mimi sio mkaazi wa hapo...
From that day, nikienda Zanzibar naenda na dawa za akiba.
Hili naweza kuthibitisha, inachofanya serikali ni kukaa kimya kuondowa taharuki na kuokowa uchumi, na chanjo pia zimesaidia kupunguza makali.Corona ipo sana tu na inawatafuna watu sema ndio hivyo ngozi nyeusi tumejaaliwa kwakweli, pia nahisi kama Dengue bado ipo.
Brother unaniambia mimi huo ni uongo wakati mm ndio nilishuhudia, nidanganye kwa maslahi ya nani?Basi hiyo malaria ulitoka nayo Bara na Wala hukuipatia Zanzibar, travel history ni mojawapo ya kipengele muhimu sana kwenye issue za kupambana na malaria.
Na unaposema eti hospitali kubwa haikuwa na dawa mpaka walipowasiliana na hospital ndogo huo ni uongo mkubwa kwasababu matibabu Zanzibar ni bure wakat mwingine dawa na vifaa tiba vinaisha kwahiyo ukipimwa ugonjwa wowote ukaandikiwa dawa ila bahati mbaya zikawa zimeisha hakuna utaratibu wa kuagizishia mgonjwa dawa kutoka nje Bali utashauliwa ukanunue maduka ya dawa kwingineko popote nje ya hospital
Kingine nimeshakutana sana na hiyo statement kwamba watumishi wa afya serikalini zanzibar wanakawaidakuficha majibu ya malaria, ukweli ni kwamba hiyo statement sio ya kweli na mara nyingi laymans ndio wanapenda kuitumia sidhani umeenda hospital ukapimwa na kupatikana na malaria alafu eti uambiwe huna huo utakuwa ni ujinga wa kiwango Cha SGR na hicho kitu hakipo.
Kwani nawewe ni wadaslam..😜Wanazingua sana
hamna😂Kwani nawewe ni wadaslam..😜
C
Chai
Ni kweli watu wachukue tahadhari, pia sio Dengue ni Malaria, Ndugu zangu kadhaa walilazwa.Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi.
Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
Inapunguza "Chembe Sahani"(Platelets) ambazo zina kazi ya kufanya damu isigande kwenye mzunguko wake...Ni kweli watu wachukue tahadhari, pia sio Dengue ni Malaria, Ndugu zangu kadhaa walilazwa.
Hii ni ile variant ambayo inaua, inapunguza sijui vidude gani kwenye damu, wataalamu wa Afya watakuja kutoa ufafanuzi zaidi.