Dar kuna mlipuko wa Malaria Kali?

Dar kuna mlipuko wa Malaria Kali?

Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi.

Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
Sema Dar ujuaji umewazidi sana, we hizi habari za kimaabara umezitoa wapi, kwa utafiti upi?
 
Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi.

Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
Zanzibar wako vizur sana nawapa hongera kwenye haya mambo, ikitokea umeenda either hospital ya private au serikalini ukapatikana na malaria bas Kuna timu lazima ifuatilie unapoishi na pia Kuna utaratibu wa kupuliza dawa za kuua mazalio ya umbu maeneo hatarishi.
 
Zanzibar wako vizur sananawapa hongera kwenye haya mambo, ikitokea umeenda either hospital ya private au serikalini ukapatikana na malaria bas Kuna timu lazima ifuatilie unapoishi na pia Kuna utaratibu wa kupuliza dawa za kuua mazalio ya umbu maeneo hatarishi.
Ilinitokea, nilitoka zangu Katumbasongwe Kyela, jirani na Malawi, nikakaa na mishe za hapa na pale, baadae nikapata mchongo Zenji, kufika Malaria hiyo, nilisumbuka hospitali kubwa ya serikali eti hawana dawa za malaria, wanaamini Zanzibar hakuna Malaria, wakawasiliana na vituo vidogo ndio zikapatikana.

Ila walikuja hadi home, na mafomu yao wakahoji hoji na wakawapima watu wote, na kujiridhisha kwamba mimi sio mkaazi wa hapo...

From that day, nikienda Zanzibar naenda na dawa za akiba.
 
Mimi nadhani chanjo za corona ndio zinatusaidia kupunguza makali, otherwise tungeanguka kama Kuku mdondo.

Ninachoamini wimbi la corona bado lipo.
 
Hata South Africa hakuna maralia, ukipata homa Kali wana Dawa yao ya unga inaitwa med lemon una weka kwenye glasi unakunywa, unalala, jasho likikutoka shughuri kwisha.
 
Huyu mbu ametoka wapi, tungekuwa mipakani huko tungewasingizia majirani, au tungekuwa na mapori makubwa tungesingizia pori.

Ame develop kutoka kwa Hawa Hawa tuliokuwa nao siku zote.

Au katengenezwa pale bonde la msimbazi muhimbili.
 
Mimi nadhani chanjo za corona ndio zinatusaidia kupunguza makali, otherwise tungeanguka kama Kuku mdondo.

Ninachoamini wimbi la corona bado lipo.
Corona ipo sana tu na inawatafuna watu sema ndio hivyo ngozi nyeusi tumejaaliwa kwakweli, pia nahisi kama Dengue bado ipo.
 
Ilinitokea, nilitoka zangu Katumbasongwe Kyela, jirani na Malawi, nikakaa na mishe za hapa na pale, baadae nikapata mchongo Zenji, kufika Malaria hiyo, nilisumbuka hospitali kubwa ya serikali eti hawana dawa za malaria, wanaamini Zanzibar hakuna Malaria, wakawasiliana na vituo vidogo ndio zikapatikana.

Ila walikuja hadi home, na mafomu yao wakahoji hoji na wakawapima watu wote, na kujiridhisha kwamba mimi sio mkaazi wa hapo...

From that day, nikienda Zanzibar naenda na dawa za akiba.
Basi hiyo malaria ulitoka nayo Bara na Wala hukuipatia Zanzibar, travel history ni mojawapo ya kipengele muhimu sana kwenye issue za kupambana na malaria.

Na unaposema eti hospitali kubwa haikuwa na dawa mpaka walipowasiliana na hospital ndogo huo ni uongo mkubwa kwasababu matibabu Zanzibar ni bure wakat mwingine dawa na vifaa tiba vinaisha kwahiyo ukipimwa ugonjwa wowote ukaandikiwa dawa ila bahati mbaya zikawa zimeisha hakuna utaratibu wa kuagizishia mgonjwa dawa kutoka nje Bali utashauliwa ukanunue maduka ya dawa kwingineko popote nje ya hospital

Kingine nimeshakutana sana na hiyo statement kwamba watumishi wa afya serikalini zanzibar wanakawaidakuficha majibu ya malaria, ukweli ni kwamba hiyo statement sio ya kweli na mara nyingi laymans ndio wanapenda kuitumia sidhani umeenda hospital ukapimwa na kupatikana na malaria alafu eti uambiwe huna huo utakuwa ni ujinga wa kiwango Cha SGR na hicho kitu hakipo.
 
Corona ipo sana tu na inawatafuna watu sema ndio hivyo ngozi nyeusi tumejaaliwa kwakweli, pia nahisi kama Dengue bado ipo.
Hili naweza kuthibitisha, inachofanya serikali ni kukaa kimya kuondowa taharuki na kuokowa uchumi, na chanjo pia zimesaidia kupunguza makali.
 
Basi hiyo malaria ulitoka nayo Bara na Wala hukuipatia Zanzibar, travel history ni mojawapo ya kipengele muhimu sana kwenye issue za kupambana na malaria.

Na unaposema eti hospitali kubwa haikuwa na dawa mpaka walipowasiliana na hospital ndogo huo ni uongo mkubwa kwasababu matibabu Zanzibar ni bure wakat mwingine dawa na vifaa tiba vinaisha kwahiyo ukipimwa ugonjwa wowote ukaandikiwa dawa ila bahati mbaya zikawa zimeisha hakuna utaratibu wa kuagizishia mgonjwa dawa kutoka nje Bali utashauliwa ukanunue maduka ya dawa kwingineko popote nje ya hospital

Kingine nimeshakutana sana na hiyo statement kwamba watumishi wa afya serikalini zanzibar wanakawaidakuficha majibu ya malaria, ukweli ni kwamba hiyo statement sio ya kweli na mara nyingi laymans ndio wanapenda kuitumia sidhani umeenda hospital ukapimwa na kupatikana na malaria alafu eti uambiwe huna huo utakuwa ni ujinga wa kiwango Cha SGR na hicho kitu hakipo.
Brother unaniambia mimi huo ni uongo wakati mm ndio nilishuhudia, nidanganye kwa maslahi ya nani?

Kwamba wewe unajua yaliotokea katika maisha yangu kuliko mimi??

Acha ujuaji.

Utaratibu wa kituo kimoja kuomba dawa kituo chengine ni wa kawaida sana katika mifumo ya afya, kama huujui ficha ujinga wako. Ndio maana kuna issue and receiving voucher katika mfumo wa usambazaji madawa.
 
Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi.

Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
Ni kweli watu wachukue tahadhari, pia sio Dengue ni Malaria, Ndugu zangu kadhaa walilazwa.

Hii ni ile variant ambayo inaua, inapunguza sijui vidude gani kwenye damu, wataalamu wa Afya watakuja kutoa ufafanuzi zaidi.
 
Inapunguza "Chembe Sahani"(Platelets) ambazo zina kazi ya kufanya damu isigande kwenye mzunguko wake...

Kwa kawaida huwa zinaanzia 150 ila wengi wenye hii malaria unakuta wanazo chini ya 100, kuna mmoja alikuwa nazo 9 tisa tuu.
 
Back
Top Bottom