Dar kuna watoto/wanawake wazur jaman daah.hiv ntaoa kwel kwa tamaa hiz

Una nyota ya ukimwi wewe
 
Siyo wazuri sema ni wasafi tu. Wazuri wapo rwanda huko. Hawa wa kwetu ukiwakwangua usoni hilo poda la makeup unaweza pikia ugali kabisa.
Wasema wewe....ila ukwel utabak pale pale bongo kuna watoto wakali
 
Unawaaibisha wanaume wa dar hujui kuandika inaonekana wewe Dereva maroli pambana na mwandiko kwanza
Hahah.sawa ila ujumbe umeupata dada,dont hate,we kama mbovu kausha wenzio wasifiwe
 
Ukija arusha si ndo utawehuka utasema uko ethiopia
Arusha pia ni hatar,na moshi pia,ndo maeneo yangu hayo sku1 moja,ila hawa wa dar kwakwel huu kchanganyiko mkali,unakuta mtoto wa kichaga kachanganyika na mmakonde anachura na mguu wa ajabu.
 
Arusha pia ni hatar,na moshi pia,ndo maeneo yangu hayo sku1 moja,ila hawa wa dar kwakwel huu kchanganyiko mkali,unakuta mtoto wa kichaga kachanganyika na mmakonde anachura na mguu wa ajabu.
Dar kila mtu anaonekana mzuri sabab wanajua kupigilia...
 
Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye amani Tanzania, watoto wa arusha watakuambia arusha inaongoza.

Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye uhalifu Tanzania, watoto wa arusha watakuambia hakuna kama arusha!

Nahisi kuna tatizo somewhere!
Mi sio wa arusha nipo huku kikaz na nimekaa mikoa mingi mno pamoja na wilaya zake...so naongea kwa uzoefu wangu...pita hata mto wa mbu mpaka karatu ukaone wamburu wanaohudumu kwenye hotel au bar au maduka ya vinyago afu uje useme hapa. Ukitua arusha ndo unakutana na mchanganyiko kibao ambao hadi shimo la singida,manyara na moshi linatemea huku na likichanganyikana na wamasai na waarusha wenyewe..sasa kuna mkoa unawatoto wazuri tanzania kuliko hiyo niliyoitaja ambao wote hao arusha ndio wamejazana?
 
Nenda mtwara ukaone jinsi mademu wa huko walivyo binuka
 
Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye amani Tanzania, watoto wa arusha watakuambia arusha inaongoza.

Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye uhalifu Tanzania, watoto wa arusha watakuambia hakuna kama arusha!

Nahisi kuna tatizo somewhere!
Ukianzisha uzi wa mji mzuri utaambiwa Arusha ndio namba moja....mabilionea Arusha namba moja yaani kila kitu Arusha ndio namba moja!
Kuna tatizo mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…