ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Oa mkuu sisi wenyewe tusingeoa tungekuwa tushaungua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una nyota ya ukimwi weweWakuu nmerud jana nyumban frm safar,nilikua mkoa huko kikaz,wel bachelor in town..nipo na cruiz tuu sehem tofaut,.toka jana saa 6,..sasa yaan kwa wanawake nao waona hku nakotembeleani hakika dsm kuna watoto wakal EA na kati.ugwadu upo ila sio saana.ila kwa namna hii,bint wa ki tz usimringie mwanaume hata sku1,kuna watoto wakal jaman had unachanganyikiwa umuanze yup uache yup.daah
wale wa wivu na mapovu karibun,i dont gv a F.
Arusha pia ni hatar,na moshi pia,ndo maeneo yangu hayo sku1 moja,ila hawa wa dar kwakwel huu kchanganyiko mkali,unakuta mtoto wa kichaga kachanganyika na mmakonde anachura na mguu wa ajabu.Ukija arusha si ndo utawehuka utasema uko ethiopia
Basi dar ni mgeni...Kawaiiiiida nipo hapa muda mrefu sana kawaiiiida kabsaaaaa
Dar kila mtu anaonekana mzuri sabab wanajua kupigilia...Arusha pia ni hatar,na moshi pia,ndo maeneo yangu hayo sku1 moja,ila hawa wa dar kwakwel huu kchanganyiko mkali,unakuta mtoto wa kichaga kachanganyika na mmakonde anachura na mguu wa ajabu.
Mi sio wa arusha nipo huku kikaz na nimekaa mikoa mingi mno pamoja na wilaya zake...so naongea kwa uzoefu wangu...pita hata mto wa mbu mpaka karatu ukaone wamburu wanaohudumu kwenye hotel au bar au maduka ya vinyago afu uje useme hapa. Ukitua arusha ndo unakutana na mchanganyiko kibao ambao hadi shimo la singida,manyara na moshi linatemea huku na likichanganyikana na wamasai na waarusha wenyewe..sasa kuna mkoa unawatoto wazuri tanzania kuliko hiyo niliyoitaja ambao wote hao arusha ndio wamejazana?Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye amani Tanzania, watoto wa arusha watakuambia arusha inaongoza.
Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye uhalifu Tanzania, watoto wa arusha watakuambia hakuna kama arusha!
Nahisi kuna tatizo somewhere!
Ukianzisha uzi wa mji mzuri utaambiwa Arusha ndio namba moja....mabilionea Arusha namba moja yaani kila kitu Arusha ndio namba moja!Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye amani Tanzania, watoto wa arusha watakuambia arusha inaongoza.
Ukianzisha Uzi wa mikoa yenye uhalifu Tanzania, watoto wa arusha watakuambia hakuna kama arusha!
Nahisi kuna tatizo somewhere!
kwa huu uandishi tu nimejiridhisha wewe ni msukuma tena kutoka GeitaFuleshi tu