Dar kuna watoto/wanawake wazur jaman daah.hiv ntaoa kwel kwa tamaa hiz

Siyo wazuri sema ni wasafi tu. Wazuri wapo rwanda huko. Hawa wa kwetu ukiwakwangua usoni hilo poda la makeup unaweza pikia ugali kabisa.
Yaani ukimpeleka bafuni akitoka utahisi ulikuwa unachanganya zege maana ni vumbi la makeup na nywele bandia
 
Eendeleeni kula kuku wa kisasa wasio na ladha wenzenu wanajivutia utamu wa kuku wa kienyeji wanakula mpk mifupa na huku wanafumba tumacho kwa utamu
Ahhh wap,mwanamke mzur ni mzur tuu,hata apake makeup asipake,.mzur mzur tu na wanaume tunamjua mwanamke mzur hata akikatiza kichochoron,...hao kuku wa kienyej wananukaga jasho kwanza,af wamekomaa.wanawake wa mikoan,wanakuaga hawanawiri sjui kwasabab ya barid.huu ndo ukwel
 
Ukianzisha uzi wa mji mzuri utaambiwa Arusha ndio namba moja....mabilionea Arusha namba moja yaani kila kitu Arusha ndio namba moja!
Kuna tatizo mahali.
tatizo ni kwamba Arusha hanaga mpizani
 
Naunga mkono
 
Ukweli Dar inaongoza kwa kua na wanawake wazuri kwa sababu ni mkoa unoongoza kwa kuchukua watu wa makabila mengi. Halafu wanawake wazuri wa vijijini wengi hukimbilia mjini kwa sababu mbali mbali ikiwemo kupata maisha mazuri. Sijaona sehemu yoyote Tanzania yenye wanawake wazuri kama eneo la Posta jamaniii daaaaah. Tena mida ya saa mbili asubuhi au au mida ya lunch na kuanzia saa kumi na nusu jioni waalah unaweza ukaanguka kiharusi.
Ukitoka hapo nenda Makumbusho daaah jamanii jamaniii hahaaaa
Apo bado hujaenda ka klabu kamoja tu Ijumaa ata pale 777 duuh.
 
Mkuu upo sahihi Niko mkoani huku. Yaani kila ninaemuangalia ni hovyo mpaka Mimi mwanaume naonekana mzuri kwao.
 
Na usishangae mtu yuko Dar miaka nenda miaka rudi anafanya kazi nzuri lakini hana hata kiwanja mkuu, watoto wa dar ni balaa
 
Ukianzisha uzi wa mji mzuri utaambiwa Arusha ndio namba moja....mabilionea Arusha namba moja yaani kila kitu Arusha ndio namba moja!
Kuna tatizo mahali.
Mkuu hayo mengine huwa siongelei ila kwenye suala la totoz hapo ntatetea sababu vitu vya singida,manyara,kilimanjaro na mto wa mbu kote huko arusha ndo sebuleni kwao. Nadhan unakubaliana namimi kwa bongo hiyo ndo mikoa yenye totoz kali kuliko,sasa imagine wote hao wamejazana arusha hapo bado wa vyuo mbalimbali halafu mji si mkubwa sana so kila ukigeuka maumivu.
 
Ukiwaona tena waambie wakanawe uso,watoe na wiving
Mwanamke mzur mzur hata aweke hayo madude asiweke,ukimwona tu unamjua,wa mkoa wamekomaa,halaf wananukaga jasho,hahahah
 
Ni balaa,pale makumbusho ni balaa
 
Au mwenge kule wanakotengeneza kucha kule,nampelekaga beibe ,ananambia we nenda kanisubirie hukooo sio hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…