Mi sio wa arusha nipo huku kikaz na nimekaa mikoa mingi mno pamoja na wilaya zake...so naongea kwa uzoefu wangu...pita hata mto wa mbu mpaka karatu ukaone wamburu wanaohudumu kwenye hotel au bar au maduka ya vinyago afu uje useme hapa. Ukitua arusha ndo unakutana na mchanganyiko kibao ambao hadi shimo la singida,manyara na moshi linatemea huku na likichanganyikana na wamasai na waarusha wenyewe..sasa kuna mkoa unawatoto wazuri tanzania kuliko hiyo niliyoitaja ambao wote hao arusha ndio wamejazana?