Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Wakuu nmerud jana nyumban frm safar,nilikua mkoa huko kikaz,wel bachelor in town..nipo na cruiz tuu sehem tofaut,.toka jana saa 6,..sasa yaan kwa wanawake nao waona hku nakotembeleani hakika dsm kuna watoto wakal EA na kati.ugwadu upo ila sio saana.ila kwa namna hii,bint wa ki tz usimringie mwanaume hata sku1,kuna watoto wakal jaman had unachanganyikiwa umuanze yup uache yup.daah
wale wa wivu na mapovu karibun,i dont gv a F.
wale wa wivu na mapovu karibun,i dont gv a F.