Dar: Kutana na Kijana wa miaka 24 anayetoka kimapenzi na Bibi wa miaka 80 Tanzania

Dar: Kutana na Kijana wa miaka 24 anayetoka kimapenzi na Bibi wa miaka 80 Tanzania

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826

Catherine, mama wa watoto 5 alipoteza mume wake miaka michache iliyopita na alihitaji kupendwa.

Akiwa anaendelea na shughuli zake za kila siku, alikutana na George ambaye ni mtoro wa shule na mwendesha boda boda na kila kitu kikabadilika.
 
Kama kijana hagharamii penzi hilo na huyo kikongwe mbona fresh tu, ila watoto wa huyo mama washike adabu kwa huyo kijana kutoka kimapenzi na mama yao
 
Wazee ndio wanaohimili misukosuko ya kimapenzi, jimama likikupata utasahau mabinti. Mabinti ni wasumbufu na wasaliti, wapiga virungu kwa wengi. Majimama hayana wa kuwatongoza kwa kuwa yamezeeka, yakipata kijana yanamng'ang'ania kama kupe hutoki. Uzuri penzi lao ni kama la bure tu, hayahitaji gharama kubwa kulitunza. Majimama mengine yana uchumi mzuri, yanahitaji penzi tu.
 
Salimia jimama lako mkuu
 
Hili ni tatizo la kimaadili, kweli mapenzi hayachagui umri lakini mhh!

Vijana kuweni na adabu 😂
 
Back
Top Bottom