U Umkonto JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 2,652 Reaction score 4,593 Feb 10, 2024 #21 Hivi kikongwe kama huyo ghafla anaanza kuugua magonjwa ya uzeeni inakuwaje sasa? Ndio unakomaa naye kumuuguza mpaka afe ili urithi mali?
Hivi kikongwe kama huyo ghafla anaanza kuugua magonjwa ya uzeeni inakuwaje sasa? Ndio unakomaa naye kumuuguza mpaka afe ili urithi mali?
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Feb 12, 2024 #22 Chifu Sanze said: Wewe unaona ni kawaida kijana wa miaka 24 kuchungulia uchi wa bibi wa miaka 80 ambaye ni sawa na bibi yake! Kama sio laana tuite nini! Click to expand... kuna vijana hawana aibu, wanapeleka moto kwa vikongwe, ni sawa na kuwasababishia mauvu tu wakati saizi zao wapo. Sio kila mtu unaweza kufanya mapenzi nae hata kama ana maumbile yake, wengine ni kuwaacha tu wakatafute saizi zao
Chifu Sanze said: Wewe unaona ni kawaida kijana wa miaka 24 kuchungulia uchi wa bibi wa miaka 80 ambaye ni sawa na bibi yake! Kama sio laana tuite nini! Click to expand... kuna vijana hawana aibu, wanapeleka moto kwa vikongwe, ni sawa na kuwasababishia mauvu tu wakati saizi zao wapo. Sio kila mtu unaweza kufanya mapenzi nae hata kama ana maumbile yake, wengine ni kuwaacha tu wakatafute saizi zao
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 Feb 13, 2024 #23 Njaa mbaya sn,,, Wanaume tutafute pesa kwa bidii,,kuepuka kuja kuingia kwenye mahusiano na vitu vya ajabu.
Njaa mbaya sn,,, Wanaume tutafute pesa kwa bidii,,kuepuka kuja kuingia kwenye mahusiano na vitu vya ajabu.
akajasembamba JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 1,179 Reaction score 1,794 Feb 13, 2024 #24 Aibu na fedheha kwa wanawe na ndugu, ila miaka 80 sawa na mtoto akili zake anahitaji kudhibitiwa ktk maamuzi yake.
Aibu na fedheha kwa wanawe na ndugu, ila miaka 80 sawa na mtoto akili zake anahitaji kudhibitiwa ktk maamuzi yake.
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Feb 13, 2024 #25 Huyo kima anavyojiachia sasa,kaona kaokota dodo. Anamdanganya tu kabibi ka watu.