Dar kwenda Mbeya na passo

Mkuu uko vema ila inashauriwa kwa safar ndefu uszime gar mara moja iache silence kwanza for 15 au 10min ndio uzime ili kufanya cooling taratibu kwani block huwa ina expand, so kwa kuiweka silence inakua bora zaidi kuliko kuzima mara moja na hii haijalishi iwe diesel au petrol engine.
 
Ishu ni kuwa engine haiwi cooled ukiweka silence. inaendelea kupata moto. kawaida cooling system inaiweka gari kwenye operating temperature. Yaani ukitizama gauge ya temperature inatakiwa ikae kati kati ndio normal operating temp.

na ukitaka kujua kama gari haiwi cooled wakati iko silence utaona feni zinazunguka baada ya muda.

Ukiwa na turbo ndio unashauriwa usizime gari hapo hapo. Maana inahitaji muda ili oil ipoe kabla haijachemka
 
Hizo New force kuna Majinja ile Volvo namba siikumbuki hakuna anayefuata hapo hiyo haina mlima wala nini kazi kazi
Nishaendesha new force najua ninachokisema
 
No,new force ndio kiboko yao,hana cha kupoteza hata akiwamwagaView attachment 1138207
Mzee hiyo Majinja inaenda Sumbawanga hakuna anayofuata lazima iwe mbele kila day mzee halafu niliwahi kukutana nayo wakati mimi natoka Mbeya(nipo na Golden deer)ilikua nyuma lakini ilituacha kwenye kilima sikuamini hatukuiona tena....pia nimekaa mafinga karibu wiki mbili lazima ianze kupita hiyo halafu ndo anapita Jaja (tunduma)na linyama hiyo mashine ni shida boi
 
Nishaendesha new force najua ninachokisema
Ila siku kaka hakuna raha kabisa ligi hamna tena speed 80 raha ya bus ligi....kufa hata kama sio kwenye ajali tutakufa
 
Hizo sheria za kupumzisha hiyo gari ni utaratibu kutoka kwa manufacturer au mawazo yenu tu?maana sijawahi kuona instruction manual ya gari inayoelezea hilo swala la kupumzisha gari kila baada ya km kadhaa...!
 
Kupumzisha gari kila baada ya kms 120 kwa gari yenye radiator hizo ni lugha tu za vijiweni wala hakuna reason hapo. Nilishawahi kuiwasha passo kutoka dar na kuizimia kigali, muda wote huo chuma ilikua inawaka tu. Zingatia speed usizidi 100 kwenye milima ibembeleze usiikanyage sana.
 
Sio basic need mkuu, ni necessity kama ilivyo simu, hela na internet.
 
Dah, point tupu! Umeongea kweli mkuu.
 
Hadi leo hujafika tu, mbona hautupi mrejesho mkuu!?
 
Ndo wanaotusumbua hata huku mtaani, mnyamazie asije akakutoa kwenye mada.
 
asante mkuu na wewe pia ubarikiwe.

Wengi wanafikiri kuendesha gari ni kuweka gia na kuondoka tu. wanasahau kuwa kuelewa engine inafanya kazi vipi ni muhimu sana tena.
Nimekupenda bure mkuu, nipo karibu kununua kigari changu cha kuendea job. Nitakutafuta unipe elimu hata kwa gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…