DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Uamuzi wa mkulu hapa ni muhim. Kuna mtu anamtunishia msuli
 
Mpango hakutakiwa kufanya hiyo ziara
Ina maana Mpango anaamini hizo container ni za Makonda?
Mpango anapiga munda juhudi za Rais wetu kutoa elimu,kibaya zaidi hakuna shule tanzania inayoweza kununua container la fanicha za walimu
 
Uyu Mpango anamchezea simba sharubu
Nape ilibidi arudi kijijini kule akakanyage migongo ya wazee wa kijiji kama vile anapita kwenye barabara kuu
 
Mpango hakutakiwa kufanya hiyo ziara
Ina maana Mpango anaamini hizo container ni za Makonda?
Mpango anapiga munda juhudi za Rais wetu kutoa elimu,kibaya zaidi hakuna shule tanzania inayoweza kununua container la fanicha za walimu
Wacha kuweweseka wewe kijakazi wa Bashite sasa moto unawawakia hadi kanisa mnaenda kusali ngara,dadeekkkk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtakoma nyie vijakazi maana tumesha wastukia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kuweweseka wewe kijakazi wa Bashite sasa moto unawawakia hadi kanisa mnaenda kusali ngara,dadeekkkk

Sent using Jamii Forums mobile app
moto upi unawaka dada?
Makonda kafiwa ukweni Ngara,kama muumini ana haki kusali popote
Elimu ya bure haiwezi kupatikana ukiwa na mtu kama mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…