Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu tuhuma nzito hizi,sio kwamba mambo yameathirika na mafuriko?
 
Sijaelewa yaan unamaanisha nini?
 
Acheni walimu waendelee kufundisha watoto uzalendo kwenye mtaala mpya
Halafu acheni dharau kwa walimu walipwe vizuri wazalishe taifa bora lisilopenda rushwa
 
Kinyerezi,segerea,mbezi Pako juu,panahitaji pampu yake, November walidai wanafunga pampu shida itaisha
Maji yakiwa mengi, hayahitaji pump. Yanamsukumo natural.


Hapa kuna mambo yanafanyika, pumps hiyo inafanyalakazi wakat wa kiangazi, kwa nn mvua kibao maji hayatoki??

Yanatokaje kiangaz kipind hiki yasitoke, etc msukumo mdg, fake engineer
 
Mnajisumbua tu kwa huyu kiongozi
 
Inashangaza hata kunawa ili kupambana na tatizo la red eyes inakuwa changamoto
 
Mnajisukbua kwa sababu mbunge wenu huyo mwanamama ni mchumia tumbo.

Mkurugenz wa Daeasa jijin sio mfuatiliaji.
 
Na mvua zote hizo bado muna mgawo wa maji tena yanakosa presha. Hapo kuna tatizo.

Hao mameneja wa dawasa wanapataje mapato yao.
 
Na mvua zote hizo bado muna mgawo wa maji tena yanakosa presha. Hapo kuna tatizo.

Hao mameneja wa dawasa wanapataje mapato yao.
Nna mtu yuko Dawasa pale alichoniambia, niko hoiii, maji watayasikia redioni, acha watu wavune maokoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…