Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,285
Mungu ibariki CHADEMA [emoji154
Hivi ile kesi ni "kupinga kufutwa uanachama"?Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye Mahakama hiyo wakipinga kufutwa uanachama
Kwa ushenzi ule wa JPM, walikuwa sahihi sana kumtukana, na naomba aendelee kuunguzwa siku ya leoChadema baada ya kumaliza kumtukana Magufuli wamegeukana wao kwa wao, laana inawatafuna
So what next
Hukumu tayari weka updates mkuuLeo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi .
anaijuaHalima Mdee anaitesa sana Chadema
Urudishe mrejesho hapa sio upoteeLeo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam i .
Kuna namna Fulani Dr Tulia atasema hajapokea nakala ya hukumu so anasubiri taarifa rasmi!!So what next
Imekuwaje huko?Kuna namna Fulani Dr Tulia atasema hajapokea nakala ya hukumu so anasubiri taarifa rasmi!!
Viti viwe wazi Ili rekodi iwe clear kwamba CHADEMA haikukubali matokeo ya 2020 maana yalichakachuliwa.
Mambo yameendaje?!Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa .