Hao ni waislam wale wahuni wahuni wa kwenye vijiwe vya kahawa wanaojua kusema Bismillah na inshaallah, kwanza katika maongezi ya kiislam ni haram kupiga makofi siyo mwenendo wa waislam kupiga makofi katika vikao vyao.
Na kwenye uislam nabii muhamad ndo alikua nabii wa mwisho dunian hatakuja nabii mwingne yoyote isipokua nabii issa pekee ndo atarud kwaajili ya kukamilisha dalili za kiama