MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Ohoooo tena?Wataingizwa nyama ya mtu matakoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooo tena?Wataingizwa nyama ya mtu matakoni
Hela ndio Mungu wa dunia..hata wewe ukipewa hela mbona unaachia shimo wazi tu.Wanaitwa mashekhe ubwabwa aka majibwa, au umbwa yaani shekhe akashadadie kafir kaafiruuna mla wake za watu, ama kweli ukistaajabu ya jibwa utaona ya makhanithi, huo ni mwendelezo wa kulewa sadaka za waumin yani anawalipa mashekhe ubwabwa wakabwatuke hadharani ili ionekane anasafishwa? kweli Dunia imevaa gunia na hela mwana haram
Heheee..kwahiyo maandiko ya biblia mnayatumia kwa namna hiyo..mbona wakati wapendekoste mitume walijazwa roho mtakatifu..au mudi aliwashukia kisha akafa akaja kuzaliwa makka sijui huko madina?Tumsikilize Bwana yesu mwenyewe anasema nini :
“Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamuwezi kuyastahimili hivi sasa. Lakini yeye atakapokuja, huyo roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayo yasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.” (Yohana 16:12-13).
Katika andiko hili Bwana Yesu Kristo anaeleza kwamba uwezo wa kipaji cha watu wa wakati wake ulikuwa mdogo hawangeweza kustahimili mafundisho yote ya sheria. Kwahiyo alitabiri kwamba mwingine atakuja baadaye ambaye ametajwa kama roho wa kweli.
Yeye ataleta mafundisho kamili ya sheria kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Huyu ni Mtume Muhammad s.a.w. ambaye ameitwa katika Qur'an Roho itokayo kwa Mwenyezi Mungu.
Vilevile ni yeye ambaye ameleta sheria kamili yaani Qur'an Tukufu kutoka kwa Mwenyezi Mungu baada ya Bwana Yesu Kristo.
Kwahiyo hakuna shaka kwamba Roho wa kweli aliyetajwa katika aya hii ni Mtume Muhammad s.a.w
Unatumia nguvu nyingi sana..ndio mana nasema hakuna muislamu bila biblia hata mudi alikopy biblia na kupest upuuzi..kama mnavyoendelea kufanya waumini wake wapuuzi kama wewe.Natulichungue hili neno lililofasiriwa Msaidizi katika Bibilia ya Kiswahili, na ambalo limeitwa "Comforter" yaani Mliwazi katika Biblia ya Kiingereza ya zamani ya King James, na likaitwa "Counsellor", yaani Mshauri katika Biblia ya Kiingereza ya Revised Standard Version, na likaitwa "Helper" yaani Msaidizi katika Biblia za Kiingereza mpya mpya kama New World Translation na Good News Bible, na "Mu'azzi", yaani Mliwazi katika Biblia ya Kiarabu ya Darul Kitabul Muqaddas ya Cairo
Maneno aliyoyasema Yesu tunayapata kwa tafsiri tu, kwani Yesu hakusema kwa Kigiriki wala Kilatini, bali alisema kwa lugha ya kawaida ya Palastina wakati ule ilikuwa ni Kiaramiya na lugha yao ya dini ni Kiebrania.
Zote mbili hizo zina asili moja na Kiarabu.
Injili ya Yohana ndio hiyo iliyotaja hiyo bishara ya Yesu kuwa atakuja huyo aitwae Msaidizi.
Katika utangulizi wa nakla ya Biblia ya Revised Standard Version imeelezwa kuwa hata hiyo matini ya Kigiriki ilioko "imeharibiwa na makosa yaliyojumlika kwa kukosoea kosea kwa walionukulu muda wa karne kumi na nne."
Wataalamu wa Biblia wakubwa kama Rudolf Bultmann (Mprotestanti) na Father John Lawrence Mackenzie (Mkatoliki) wanakubali kuwa sehemu nyengine za Injili si kweli kihistoria, na ya kwamba maneno fulani ya Yesu kwa hakika yamebuniwa na Kanisa la kale.
Ni makosa kusema kuwa huyo Periklitos (Msifiwa) aliyefasiriwa kwa kukosea Msaidizi, ni Roho Mtakatifu, ambaye Wakristo wanasema ni nafsi ya Mungu. Ushahidi wa makosa hayo umo humo humo katika Injili ya Yohana.
Kama huyo Msaidizi ni Roho Mtakatifu kwanini Yesu alisema "yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo (Periklitos) hatakuja kwenu.???
Roho Mtakatifu twaambiwa ni Mungu wa milele. Je, kwani Mungu hatokuwepo maadamu Yesu yupo?
Je, yeye Yesu na Manabii wote waliomtangulia na watakatifu wengine hawakuteremkiwa na Roho Mtakatifu?
Injili ya Mathayo, nayo inatueleza kuwa Yesu alibashiri kutokea kwa Muhammad, ambaye ni katika uzao wa Ismaili, anayefananishwa na jiwe liliokataliwa na wajenzi.
Pia Yesu alibashiri kuinuka kwa Umma wa Kiislamu utakaopewa Ufalme wa Mungu, nayo yote hayo yakatimia:
Yesu akwaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake. Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.
Mathayo 21.42-44
Roho Mtakatifu alikuwepo tangu mwanzo kabla ya uumbaji ila hakuwepo kwa mitume na katika hali mpya ambayo Mungu aliikusudia baada ya kazi ya ukombozi alofanya Yesu.Yohana 16:7-8. “Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;”
Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41 “Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”.
Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu:
sasa vipi hii imaanishe kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?
Mungu hujidhihirisha kwa mwanadamu kwa njia za kibinadamu. Historia ya uumbaji imeandikwa kwa lugha nyepesi mno mimi huita lugha ya kitoto manake tusingeelewa kitu kama Mungu angeanza kuzungumzia atoms na electrons, protons na sub atomic particles ambazo mpaka leo na kesho zinavumbuliwa.Natulichungue hili neno lililofasiriwa Msaidizi katika Bibilia ya Kiswahili, na ambalo limeitwa "Comforter" yaani Mliwazi katika Biblia ya Kiingereza ya zamani ya King James, na likaitwa "Counsellor", yaani Mshauri katika Biblia ya Kiingereza ya Revised Standard Version, na likaitwa "Helper" yaani Msaidizi katika Biblia za Kiingereza mpya mpya kama New World Translation na Good News Bible, na "Mu'azzi", yaani Mliwazi katika Biblia ya Kiarabu ya Darul Kitabul Muqaddas ya Cairo
Maneno aliyoyasema Yesu tunayapata kwa tafsiri tu, kwani Yesu hakusema kwa Kigiriki wala Kilatini, bali alisema kwa lugha ya kawaida ya Palastina wakati ule ilikuwa ni Kiaramiya na lugha yao ya dini ni Kiebrania.
Zote mbili hizo zina asili moja na Kiarabu.
Injili ya Yohana ndio hiyo iliyotaja hiyo bishara ya Yesu kuwa atakuja huyo aitwae Msaidizi.
Katika utangulizi wa nakla ya Biblia ya Revised Standard Version imeelezwa kuwa hata hiyo matini ya Kigiriki ilioko "imeharibiwa na makosa yaliyojumlika kwa kukosoea kosea kwa walionukulu muda wa karne kumi na nne."
Wataalamu wa Biblia wakubwa kama Rudolf Bultmann (Mprotestanti) na Father John Lawrence Mackenzie (Mkatoliki) wanakubali kuwa sehemu nyengine za Injili si kweli kihistoria, na ya kwamba maneno fulani ya Yesu kwa hakika yamebuniwa na Kanisa la kale.
Ni makosa kusema kuwa huyo Periklitos (Msifiwa) aliyefasiriwa kwa kukosea Msaidizi, ni Roho Mtakatifu, ambaye Wakristo wanasema ni nafsi ya Mungu. Ushahidi wa makosa hayo umo humo humo katika Injili ya Yohana.
Kama huyo Msaidizi ni Roho Mtakatifu kwanini Yesu alisema "yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo (Periklitos) hatakuja kwenu.???
Roho Mtakatifu twaambiwa ni Mungu wa milele. Je, kwani Mungu hatokuwepo maadamu Yesu yupo?
Je, yeye Yesu na Manabii wote waliomtangulia na watakatifu wengine hawakuteremkiwa na Roho Mtakatifu?
Injili ya Mathayo, nayo inatueleza kuwa Yesu alibashiri kutokea kwa Muhammad, ambaye ni katika uzao wa Ismaili, anayefananishwa na jiwe liliokataliwa na wajenzi.
Pia Yesu alibashiri kuinuka kwa Umma wa Kiislamu utakaopewa Ufalme wa Mungu, nayo yote hayo yakatimia:
Yesu akwaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake. Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.
Mathayo 21.42-44
Kweli maisha magumu!Mashehe wameamua kuwa machawa wa nabii mkuu!!?Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.
Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.
Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.
Wasikilize hapa.
Unatumia biblia iliyo kichwani mwako?Roho Mtakatifu alikuwepo tangu mwanzo kabla ya uumbaji ila hakuwepo kwa mitume na katika hali mpya ambayo Mungu aliikusudia baada ya kazi ya ukombozi alofanya Yesu.
Biblia hii inaitwaje?Mungu hujidhihirisha kwa mwanadamu kwa njia za kibinadamu. Historia ya uumbaji imeandikwa kwa lugha nyepesi mno mimi huita lugha ya kitoto manake tusingeelewa kitu kama Mungu angeanza kuzungumzia atoms na electrons, protons na sub atomic particles ambazo mpaka leo na kesho zinavumbuliwa.
Yesu (Mungu) alikuwepo kabla ya nyakati na ndani ya wakati wetu amejidhihirisha kwetu katika nafsi ya Yesu Kristo. Na alipoondoka katika hali ya ubinadamu alituachia Roho mtakatifu ambaye yeye yule Yesu katika roho. Mungu ana uwezo wa kujidhihirisha katika namna yoyote apendayo iwe moto, ngurumo, umeme au mtu kama ilivyoandikwa kwenye Biblia.
Mungu hujidhihirisha kwa mwanadamu kwa njia za kibinadamu. Historia ya uumbaji imeandikwa kwa lugha nyepesi mno mimi huita lugha ya kitoto manake tusingeelewa kitu kama Mungu angeanza kuzungumzia atoms na electrons, protons na sub atomic particles ambazo mpaka leo na kesho zinavumbuliwa.

Yohana 16:7-8, inasema; “Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”Roho Mtakatifu alikuwepo tangu mwanzo kabla ya uumbaji ila hakuwepo kwa mitume na katika hali mpya ambayo Mungu aliikusudia baada ya kazi ya ukombozi alofanya Yesu.
Aiseeeee!Astaghafulilah yaani Masheik waingizwe nyamaWataingizwa nyama ya mtu matakoni
Dakika za mwisho za Fascist Jiwe Sheikh Kipozeo alishaingizwa kwenye payroll ya kumsifia Kayafa.Sheikh wetu Hilary Kipozeo hapendagi uchawa kabisa. Yeye kazi yake ni kutupa mawaidha juu ya raha za peponi na neema za Allah alizowajaalia waja wake.
Peponi kuzuri tu.
Ee mwenyezi Mungu utujalie waja wako tufike peponi.
Biblia ipi unayoikusudia kusema KJV, NKJV, QJV, RSV, Au maelfu ya biblia tofauti?Heheee..kwahiyo maandiko ya biblia mnayatumia kwa namna hiyo..mbona wakati wapendekoste mitume walijazwa roho mtakatifu..au mudi aliwashukia kisha akafa akaja kuzaliwa makka sijui huko madina?
Acha upotoshaji biblia ina wenyewe.
Mudi wala kurwni havina uhusiano na mungu wa wayahudi au yule aliyekuja kuhubiriwa na Kristo.
#MaendeleoHayanaChama
unadhani mimi kameroon kama wewe, kama umezoea kuliwa unaliwa tu bila hata hiyo hela unayosema , mimi najielewa jibwa weyeHela ndio Mungu wa dunia..hata wewe ukipewa hela mbona unaachia shimo wazi tu.
Na huyo mungu wako utamkana.
#MaendeleoHayanaChama