Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

Hao wanaweza kuwa ni masheih kweli ila waliokengeuka, msiwakatae ni ndugu zenu waombeeni tu.
 
Hakuna Sheikh hata mmoja hapo.
1.Majina yao ni yapi?
2.Wanahudumu misikiti ipi?
3.Waislamu hawana utaratibu wa kupiga makofi, kifupi hawa ni WAHUNI wa MASKANI tu wamepewa DILI

Si kila avaaye kanzu na kofia ni Sheikh.
 
Mleta mada kaja kwa speed kweli huku akiwa na mategemeo kuwa tutanasa kwenye mtego. Waislamu sio watu wa kudanganywa danganywa hamna sheikh hapo

Sent from my moto g stylus 5G using JamiiForums mobile app
 
Ninavyojua mimi hao mashekhe kama walikuwa wanaswalia msikitini,kuanzia siku waliyotoa hilo tamko wataanza kuswalia nyumbani,sababu nafsi zao zitawasuta kuchanganyikana na waisilamu wa kweli
Hayo mawazo yako tu..bongo hakuna waislamu wa kweli wengi ni wanafiki..waislamu wa kweli na wanaofuata mafundisho ya kiislamu ni magaidi wale isis..bokoharam..alshababu..alkaida n.k

#MaendeleoHayanaChama
 
Praise and worship pays !! Kwa MUNGU na hata kwa ibilisi. Hivyo ukiona watu wanasifu usishangae! Hata hivyo ni wachache waiendeayo ile njia ya kweli na uzima !!!
 
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.

Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.

Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.

Wasikilize hapa.
Kuna Mtu aliandika "inawezekana Tanzania ni channel ya vichekesho mbinguni".
 
Back
Top Bottom