Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

[emoji1787][emoji1787]mashekhe ubwabwa ndo hao.
Mwingne huyu hapa
JamiiForums973300186.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Uchawi upo

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Uchawa (sio sana uchawi)
upo sana. Hujaona video zinasambazwa na machawa wakinamama wakijigalalaza?

Watoto na wazee wamelipwa kubeba bendera za CCM, ACT, Chadema. Wapumbavu wanakuja wanakwambia wanaipongeza serikali ya CCM.

Wananchi wengi wa TZ ni
walalahoi. Hawana chama, maskini, unawapa buku mbili, tano chakula na T-shirt watafanya chochote.

Viongozi wa dini karibu wote wamekuwa machawa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana muwe na adabu basi. Hao ni wazee wetu. Tanzania tunaheshimiana na tunaishi kiuungwana na kwa udugu wa kupigiwa mfano. Hebu acheni kuendekeza hoja za kibinafsi.

Hakuna shida kwa masheikh kumtetea mchungaji huo ni upendo wa next level. Msijisahaulishe namna wachungaji na makanisa yalisimama na watanzania wengine kutetea masheikh wa uamsho kuachiwa huru ingawa walikuwa na itikadi za kibinafsi. Tuwe na utu kwanza.
I

Nina maswali mawili

1. Hao ni mashehe wa msikiti gani?

2. Wana Elimu ya dini inayowawezesha kuswalisha?
 
what i know for sure ni kwamba, atafungua ile briefcase yake ya mamilioni ya sadaka za mang'ombe, na atawapa pesa za kutosha kwa kumsifia. yeye na wao hawatofautiani kwasababu mungu wanayemwakilisha hapa duniani ni mmoja. ila ni tofauti na Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo ambaye ndiye Mungu wa kweli.

kati ya embarrassment zilizowahi kutokea duniani kwa wakristo, ni uwepo wa manabii wa uongo kama huyu anayejiita mkuu na yule muuza mafuta asiye na mke. afadhali hata yule mbwia konyagi tunajua hana kanisa ana maombezi tu na hana kitu kichwani.
Kumbe muuza mafuta hanaga mke😆😆🙌
 
atazawadiwa Magali na mh nabii mkuu. Ila me wamekosa kahekima wanaitukana JAMIIFORUMS INAMANISHA PAMOJA NA MIMI DAH hivi nabii TITO YUKO WAPI KWELI HILI SWALI NI Kwa Wana CCM tu
 
Lipia tangazo la kumnadi huyo baba yako.
 
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.

Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.

Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.

Wasikilize hapa.

Masheikh fake.......
 
Hao sio mashekh, bali ni masheh. Ona tofauti hiyo
 
Kumbe hawa waungwana wanaingia JF,![emoji23] maana JF imenangwa na sisi tulioripoti pia
 
Back
Top Bottom