Dar: Mchina adaiwa kumuua mwenzake na kumjeruhi mwingine kwa risasi, chanzo ugomvi wa mapenzi

Dar: Mchina adaiwa kumuua mwenzake na kumjeruhi mwingine kwa risasi, chanzo ugomvi wa mapenzi

Alielazwa Ni Nani Na Aliefariki ni Nani? Alieelewa Anieleweshe Tafadhali.....
 
Alielazwa Ni Nani Na Aliefariki ni Nani? Alieelewa Anieleweshe Tafadhali.....
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta Zheng Lingyao (42), raia wa China na mkazi wa jiji hilo kwa tuhuma za kumuua Fu Nannan (26) raia wa China mfanyabiashara na mkazi wa Kalenga Ilala, uchunguzi umebaini kulikuwa na tatizo la masuala ya mapenzi.
 
Kama wameuwana wao kwa wao watajuana wenyewe, nilifikiri Mchina kauwa dada yetu hapo ningemvaa!
 
Wamefumuana tena... Last week walikosana ila wakaumizana sana mpaka mmoja kulazwa na kutundikiwa drip huku jicho likiponea chupuchupu kung'olewa... Na tatizo ni machangu wao wa kichina wanawagonganisha
 
Back
Top Bottom