Dar: Mchina adaiwa kumuua mwenzake na kumjeruhi mwingine kwa risasi, chanzo ugomvi wa mapenzi

Dar: Mchina adaiwa kumuua mwenzake na kumjeruhi mwingine kwa risasi, chanzo ugomvi wa mapenzi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema uchunguzi wa awali wa tukio hili umebaini kuwepo kwa tatizo la kutoelewana lililotokana na masuala ya kimapenzi.
Nchi imekumbwa na balaa gani hii!!
 
Yani mapenzi yanatupeleka mchaka m chaka,,, maana Kila siku linazaliwa balaa jipya
 
Hawa wachina wamezoea sana hapa bongo sasaivi wanafanya fanya matukio tu kama wapokwao vile.
 
[emoji849][emoji849] mchina tena, na wanavyofanana kamanda ana kazi.
 
Mapenzi tena...
Hadi wachina wameshindwa kufanya ishu zingine wanauana kwa sababu za mapenzi??
Kila mtu ashinde mechi zake
Na hili pia liwe funzo kwa nyie dada zetu msile nauli za wachina ni dakika kuwaondoa ulimwengu
 
Back
Top Bottom