Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

Bado sana, Meli kubwa ya container 5000 ndio ilifika mpaka ikaonyeshwa AZAM TV meli kubwa ya mizigo kutia nanga bandari ya Dsm. .

Huko Duniani kuna meli zinabeba container zaidi ya 20,000 kwa mara moja

Hili dude la picha ya pili
Likipaki kwenye bandari yetu maji yatamwagikia hadi ikulu due to upthrust 😄😄😄
 
Bado sana, Meli kubwa ya container 5000 ndio ilifika mpaka ikaonyeshwa AZAM TV meli kubwa ya mizigo kutia nanga bandari ya Dsm. .

Huko Duniani kuna meli zinabeba container zaidi ya 20,000 kwa mara moja
Kama lile dude lililokwama pale Suez mkuu... Lilikuwa kubwa balaa...
 
1628618030174.png

Nahodha anakaa wapi hapo 😳😳😳
 
Ujinga tu tunajisifia kupokea meli kubwa lakini huduma bandarini mbovu kabisa, hao vijana wanaoshusha hayo magari utazania vichaa wanaendesha hovyo wanakwangua magari ya watu na hawaadhibiwi kabisa, kwakweli utendaji wa bandari yetu unashangaza sana, unakaa siku 3 unahitaji GOT WARD yakupalia Machine ya mteja siku 2 kila siku mbovu mara betri mara system basi ilimradi ucheweleshwaji tu na hakuna msamaha wa Storeg walio isababisha wao.

Usemayo ni kweli kiongozii, ila hapo kwenye Gottwald nikurekebishe kidogo...Zile gottwald za muda mrefu nyingi zimechoka kwahyo zinakuwaga na shida sanaa...Ila soon wanaleta machine safiiii na ndomana umeona saiv berth kuna relii, kwa ajili ya izo machine
 
Back
Top Bottom