Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

Bado sana, Meli kubwa ya container 5000 ndio ilifika mpaka ikaonyeshwa AZAM TV meli kubwa ya mizigo kutia nanga bandari ya Dsm. .

Huko Duniani kuna meli zinabeba container zaidi ya 20,000 kwa mara moja
Hili dude la picha ya pili
Likipaki kwenye bandari yetu maji yatamwagikia hadi ikulu due to upthrust 😄😄😄
 
Bado sana, Meli kubwa ya container 5000 ndio ilifika mpaka ikaonyeshwa AZAM TV meli kubwa ya mizigo kutia nanga bandari ya Dsm. .

Huko Duniani kuna meli zinabeba container zaidi ya 20,000 kwa mara moja
Kama lile dude lililokwama pale Suez mkuu... Lilikuwa kubwa balaa...
 
Usemayo ni kweli kiongozii, ila hapo kwenye Gottwald nikurekebishe kidogo...Zile gottwald za muda mrefu nyingi zimechoka kwahyo zinakuwaga na shida sanaa...Ila soon wanaleta machine safiiii na ndomana umeona saiv berth kuna relii, kwa ajili ya izo machine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…