Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Acha uongo,westgate wahusika waliuwawa na wengine kukamatwa baada ya kujichanganya na watu waliokufa!
 
Kuna level ambayo mtu akiifikia, anapaswa kupewa ulinzi au kujiwekea ulinzi (body guards). Kushindwa kufanya hivyo unakuwa umejiweka kwenye hatari ambayo hatimaye, huchanganya watu akili!
 
Acha uongo,westgate wahusika waliuwawa na wengine kukamatwa baada ya kujichanganya na watu waliokufa!
Aisee ebu acha urongo walipatikana wapi labda useme walikamatana wenyewe kwa wenyewe baina ya polisi kikosi maalum na jeshi na kudunguana risasi waokwawako[emoji2] [emoji2]
 
Acha uongo,westgate wahusika waliuwawa na wengine kukamatwa baada ya kujichanganya na watu waliokufa!
Acha uongo na wewe hakuna gunmen hata mmoja aliyekamatwa kwa tukio la westgate, kama unabisha nenda YouTube katafute makala ya jaramandia la uhalifu utaona mohamedi Ali alivyofunguka
 
Acha uongo na wewe hakuna gunmen hata mmoja aliyekamatwa kwa tukio la westgate, kama unabisha nenda YouTube katafute makala ya jaramandia la uhalifu utaona mohamedi Ali alivyofunguka
Nimechanganya westgate na ile college,not a big deal!
 
Lete wewe kuwa hawakukamatwa?Umesahau mpaka mtanzania mmoja alikamatwa?
Unazungumzia tukio la kuvamiwa chuo kikuu cha Garrisa na sio Westgate attack.

Usicomment bila kuwa na uhakika mkuu ni vizuri hata uka google kuliko kuandika usichokijua.

ASANTE
 
Shida kubwa ya WaTanzania ni kuwa kila Mtu ni mtaalamu wa kila kitu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…