Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hamna kitu km iko,,serikali imteke MO wakati ndio wakuza uchumi wetu,,hii coment yako mkuu itakuletea matatizo

Kama ungejua serikali imepoteza sh ngapi katika Mbaazi za wakuluma, usingethubutu kuandika haya. Toka sh 2000 kwa kilo mpaka sh 150 - 200 kwa kilo na bado mnunuaji haonekani, maana watu walihama mjini kwenda kulima mbaazi ambazo hazihitaji hata mifuko ya fertilizer/mbolea.

Ukweli serikali imejitia umasikini zaidi ya hiyo pesa ya MO. Lakini serikali haijilaumu kwa hilo, ndio utajua tukp wapi. Kuna wengi hawajui tulipooooo.
 
taswira ya taifa kweli imechafuka vibaya sana kwa tukio hili vyombo vya habari vya kimataifa vyote vinaongelea

kutekwa kwa MO Hii kitu inatutia doa kama nchi kisiasa na kiuchumi na kiusalama.

Baada ya wiki moja Bashite atatoa siku 3 aachiwe. Na yeye mwenyewe ndio atakwenda mbele ya vyombo vya habari kusema kuwa kapatikana kama ile ya Mkatoliki.

Sijui, pengine kaenda kwa mchumba wake Iringa, maana wachumba wa Iringa siku hizi ukienda kwao lazima utangazwe kama umetekwa, tete teeeeeee bin NONDO.
 
Hivi kwa nini Bashite kila aendako Mamboleo yupo tuu? Kwani kweli ndio majukumu ya mwenye kigoda ulinzi na Usalama hayo?
Au ana lake jambo barazuli huyu?
 
Duuh
 
Sijaelewa mkuu
 
the issue here is about humanity.its not about colour or weath . be serious dude
Hajawahi kuwa na akili huyo jamaa angetekwa yeye sijui ingekuwaje.
Rangi au kabila la mtu haliondoi thamani ya utu wake
 
 
Bado tuna changamoto kama wageni wanakuja nchini na kumiliki silaha au wameingia Nazo hatujui ni veeepe.

Tuwaachie polisi wafanye kazi yao vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…