Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ukiitajika kusaidia upelelezi utathibitisha huu uzushi??

Maana hii ni shutuma nzito mnoo kwa serikali. Kwamba wao ndo wahusika no1
 
Kuna mahalinimesoma eti Manara ananyea ndoo. Ni kweli?
 
Huyu bwana wanasema anaajiri watanzania 20,000

Mungu msaidie MO arudi salama
 
Kila nikimfikiria MO naumia sana moyoni,sijawah kuwa na mawazo mabaya kuhusu serikali,lakn kwa ishu hii naona kabisa INTELIGENCIA YETU HAINA MAANA KABISA

IVI KWELI SERIKALI IMESHINDWA KUTUMIA WATAALAMU WA MASUALA YA KIPOLISI HATA KIJESHI KUWATAMBUA WATEKAJI WA MO NA KUJUWA YUPO WAPI

BASI KAMA TUMESHINDWA TUITE VYOMBO VYA NJE VIJE VITUSAIDIE KUMTAFUTA JAMAA

TUNASHINDWAJE KUITA CIA,FBI, NA VYOMBO VINGINE VYA KIMATAIFA

TUTUMIE VYOMBO HIVI SABABU JAMAA YUPO SMART
 


Una ugonjwa wa ,,Stockholm Syndrome“, Muhindi keshakumaliza kazi, dadadeki, Muhindi anakuuma hivyo?

Umenikumbusha wale wazee wanafanya kazi kwa Muhindi Posta kulea watoto na kutumwa, miaka zaidi ya 30 kutumwa kulea watoto wa Kihindi, ni waaminifu kwa Muhindi klk hata kwa babake!
 
Ninaamini kuwa watekaji wa Mo hawajakurupuka kama kweli katekwa, watekaji ni watu wanaojua vyema sana kuhusu masuala hayo ndiyo maana hadi sasa hakuna fununua kuhusu alipo Mo.

Ukifanya kitu kikubwa pekee yako utakifanya vyema sana na ni vigumu watu kujua mikakati yako.

Mbao za Mawe,heshima kwako
Umenena vyema kabisa

Usalama wetu ni ule wa siku za uhuru,muungano na sherehe nyingine,

Usalama umebaki wa majukwaani tu
 
Katika bara la Afrika kwa mwaka huu MO ni tajiri wa saba kutekwa. Hivyo hili ni wimbi jipya la msingi tuviamini vyombo vyetu vya usalama. Hata huko kwenye hayo mashirika ya kijasusi uliyoyataja haya hutokea
 
Kweli tumtofautiana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…