Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Watu wasiojulikana chini ya CCM inatosha sasa, ni wakati wa Lissu kuingia madarakani na kutuambia wasiojulikana
Lissu ameshatuambia kuwa ukiikosoa tu hii serikali unaletewa wasiojulikana sasa maana yake ni kuwa wasiojulikana ni genge la watekaji wanaofadhiliwa na hiyo hiyo serikali na ndio maana hawajawahi kukamatwa. That's it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…